Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

Story gani alitoa mbona nipo kitambo jfm but simfahamu kabisa , mwenye uzi hata mmoja wa huyu warumi anidondoshee basi
 
Lala salama Rafiki.
Nakumiss kila ninapoingia Celebrities forum
 
Imagine uumwe halafu unajua hutapona utakufa utakata roho utaiacha dunia kwa wengine Hali hii tu ingewaletea stress za kufa mtu Ila yeye aliandika maparagraf kibao kutujuza mastori ya town
Pengine umri wako ni mdogo. Huwa inafika wakati/umri unaona ni heri kufa kulingana na unayopitia.
 
Kwani nani hajui kama atakufa?
 
Kufa ndio kitu Cha uhakika kabisa ninachokifahamu nitapita.R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…