Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Aisee wewe bado hujamjua Aslay vizuri kwa kweli.
mwageni mtama penye kuku wengi basi.Akamuulize mboso atamueleza vizuri. Lol.
wanaropoka tuHii ngoma tokea wiki iliyopita, harmonize alisema ataiachia na juzi akaandika tarehe 30 anachia video, kama unabisha nenda ktk acc yake ya instagram
rock star 4000 ile lebo ya mashoga inakilikiwa na gubu kiba na omy dimpojiAsley yuko lebo gani?
sio kwelirock star 4000 ile lebo ya mashoga inakilikiwa na gubu kiba na omy dimpoji
Nadhani umemchanganya na BekaflavourAslay kafanana na Muumini Mwinjuma kila kitu. Kuanzia uimbaji, mavazi, swaga mpaka elimu. Bado kuvaa magwanda ya CCM tu.
BavichaAsley yuko lebo gani?
Mbona Aslay sio mshindani wa Wasafi?. Usimponze bado anasafari ndefu anahitaji ushirikiano zaidi.Ndugu wanabodi ikiwa ni masaa kadhaa toka Aslay aachie ngoma yake iitwayo KAITESI nao upande wa Wasafi wameachia ngoma yao kupitia harmonize iitwayo DM-Chick.
Je ni kweli Wasafi walikuwa wanampango wa kuachia ngoma leo au ni njama za kumzima Aslay ambaye anaonekana kuonesha ushindani kwa sasa?
Je uachiaji wa ngoma huu ni coincidence au kuna ajenda ya siri nyuma ya pazia?
nimecheka kwa nguvu aisee....ina maana Muumini aliishia kuvaa magwanda ya CCM!!Aslay kafanana na Muumini Mwinjuma kila kitu. Kuanzia uimbaji, mavazi, swaga mpaka elimu. Bado kuvaa magwanda ya CCM tu.