Je Wasafi wamedhamiria kumfunika Aslay?

Je Wasafi wamedhamiria kumfunika Aslay?

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Ndugu wanabodi ikiwa ni masaa kadhaa toka Aslay aachie ngoma yake iitwayo KAITESI nao upande wa Wasafi wameachia ngoma yao kupitia harmonize iitwayo DM-Chick.

Je ni kweli Wasafi walikuwa wanampango wa kuachia ngoma leo au ni njama za kumzima Aslay ambaye anaonekana kuonesha ushindani kwa sasa?

Je uachiaji wa ngoma huu ni coincidence au kuna ajenda ya siri nyuma ya pazia?
 
Hii ngoma tokea wiki iliyopita, harmonize alisema ataiachia na juzi akaandika tarehe 30 anachia video, kama unabisha nenda ktk acc yake ya instagram
 
Aslay kafanana na Muumini Mwinjuma kila kitu. Kuanzia uimbaji, mavazi, swaga mpaka elimu. Bado kuvaa magwanda ya CCM tu.
 
Waacheni watoe ngoma sisi ndo tutajua nani mkali na tutaziskiliza zote tu acheni unafiki
 
Aslay kafanana na Muumini Mwinjuma kila kitu. Kuanzia uimbaji, mavazi, swaga mpaka elimu. Bado kuvaa magwanda ya CCM tu.
Nadhani umemchanganya na Bekaflavour
 
Ndugu wanabodi ikiwa ni masaa kadhaa toka Aslay aachie ngoma yake iitwayo KAITESI nao upande wa Wasafi wameachia ngoma yao kupitia harmonize iitwayo DM-Chick.

Je ni kweli Wasafi walikuwa wanampango wa kuachia ngoma leo au ni njama za kumzima Aslay ambaye anaonekana kuonesha ushindani kwa sasa?

Je uachiaji wa ngoma huu ni coincidence au kuna ajenda ya siri nyuma ya pazia?
Mbona Aslay sio mshindani wa Wasafi?. Usimponze bado anasafari ndefu anahitaji ushirikiano zaidi.
 
Back
Top Bottom