Je, Wasanii wa nchi hii wanatumiwa na watawala wetu kama askari wa kukodiwa?

Kama bado kuna wananchi ambao wameacha shughuli zao zote na kwenda kuangalia burudani ya muziki iliyoandaliwa na ccm basi kuna tatizo kwa hao wananchi wenyewe na hao wasanii si tatizo wao bali wapo kazini.
 
Ukitaka kujua namna ambavyo CCM inavyowatisha wasanii, hebu rejea tukio la msanii Roma, la kutekwa lililomkuta mwanzoni mwa mwaka 2017
Sio wasanii tu hata sisi humu tunaogopa vitisho vya ccm na ndiyo maana tunajificha humu JF na kuishia kuwakaripia hao ccm tukiwa nyuma ya keyboard ila tunataka wasanii wasiogope vitisho vya ccm kwenye maisha halisi.
 
Kama muziki tu ambao ni burudani tunataka wasanii wasiende kufanya show zilizoandaliwa na ccm,kwa hali hiyo basi hadi madkatari wataacha kutibu wagonjwa wa ccm na wengine hawatawauzia chakula ccm.
 
UHURU JR
Sasa ina maana gani kuwa na Katiba ya nchi, inayotwambia kuwa tupo kwenye mfumo wa vyama vingi?

Ni bora tu wakaufuta mfumo huu na tukabaki na mfumo wa chama kimoja, ambao ndiyo wanaoupendelea watawala wetu
 
Kama bado kuna wananchi ambao wameacha shughuli zao zote na kwenda kuangalia burudani ya muziki iliyoandaliwa na ccm basi kuna tatizo kwa hao wananchi wenyewe na hao wasanii si tatizo wao bali wapo kazini.
cha bure,pili watz ndo watu unaowezawapata popote na mda wowote uutakaohasa ukiwawekea muziki watajaa kwa sababu wengi ni majobless
 
wanamuziki wa congo wameliuwa soko lao la muziki ulaya na usa kwa makosa ya kuchanganya biashara na itikadi kama ambavyo viongozi wa dini tz wanavouwa dini kwa kuchanganya na itikadi zao za ukada.
wacongomani walimuimbia na kumsifia kabila kwa kuangalia njaa ya siku moja leo kabila hayupo madarakani na hana msaada wa kuwasaidia waweze kufanya show ulaya na usa sababu ya makombatanti wana nguvu na wameweza washawishi wakongomani woote ulaya na usa pia kwa umoja wao hakuna kuhudhuria show zao wanawafanyia vurugu wasiperform hivo show wazitegemeazo ni west afrika .Yote ni kwa sababu walimtukuza kabila
 
Haijawahi tokea msanii yeyeto akaisapoti ccm na asife kimuziki sijui kuna laana gani
 
Kama muziki tu ambao ni burudani tunataka wasanii wasiende kufanya show zilizoandaliwa na ccm,kwa hali hiyo basi hadi madkatari wataacha kutibu wagonjwa wa ccm na wengine hawatawauzia chakula ccm.
Wanamziki 200 kuimba nyimbo za kusifu chama lazima mtu apate wasiwasi lakini kama kuna maslahi ni powaa tu kwani siku ya kupiga kura ni siri ya mtu mwenyewe as anaweza kusifu kwenye public lakini akafanya mengine kwenye chumba cha kupigia kura.
 
Ulichoongea ndiyo ukweli mtupu kwa asilimia 100
 
Hakuna ushahidi wowote; mwaka 2015 waliperform kwa CHADEMA na kwa CCM. Wanajua kabisa jinsi ya kumtumikia kafiri wapate mradi wao.

Asante kwa kuniita mwomgo.
Mtaje aliepaform kwa chadema na ccm 2015, otherwise huna tofauti na wapiga mitama
 
Wanamziki 200 kuimba nyimbo za kusifu chama lazima mtu apate wasiwasi lakini kama kuna maslahi ni powaa tu kwani siku ya kupiga kura ni siri ya mtu mwenyewe as anaweza kusifu kwenye public lakini akafanya mengine kwenye chumba cha kupigia kura.
Ni kawaida tu hasa ukizingatia wasanii wetu wengi walitangaza nia hukohuko ccm.
 
cha bure,pili watz ndo watu unaowezawapata popote na mda wowote uutakaohasa ukiwawekea muziki watajaa kwa sababu wengi ni majobless
Sasa kwa hali hiyo msanii analaumiwa nini kuwa et anatumika na ccm wakati wananchi ndio wako hivyo hawana shida na ccm wao ukiwaekea muziki wanaburudika tu bila kujali.
 
Vijana wa bongo, nao ni matotopolo tu. Wananunuliwa kwa mziki
 
Sasa msanii ndio kazi yake wamelipwa ili wafanye show wewe unakuja kuwalaumu kwavile Ni tamasha la CCM Ila lingekuwa tamasha la Sacco's (chadema) ungepongeza halafu unataka uwe kundi la great thinker, Cha Domo hawana pesa ya kulipa hao wasanii ikiwa chama kinakata wabunge wake Mishahara ili kiishi kitaweza vipi kuendana na kasi ya CCM bandiko Kama hili linaonesha udhaifu wa wapinzani uchwara, wasanii wasifanye kazi zao kisa wewe Ni Cha Domo hupendi??? Vituko haviishi[emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Wakati wa uchaguzi mkuu ndiyo wa mavuno kwa wasanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…