Je, Wasanii wa nchi hii wanatumiwa na watawala wetu kama askari wa kukodiwa?

Ulikuwapo kwenye ufunguzi wa kampeini za UKAWA wewe? Huyo hapo ni nani

Kikubwa hapa tugawane mbao!!

Kisa cha Roma mpaka leo hakijulikani hadharani ila hiyo pia haizuii kupambana!!

Vyama pinzani Tz uwanja uko huru tangazeni dau kwa wasanii mnaowahitaji! Wakikataa basi jibu mtakua nalo na wakikubali twenzetu!!

Jibu la mjinga kwenye ufahamu ni vitendo + ukimya!! Mengine chokochoko!
 
Si kwamba chadema au act ndiyo vyama bora sana, hapana, ilaccm inabidi waondoke wasababu wamelewa mno madaraka na sasa wamekuwa waonevu sana na wakatili.
Kila raia sasa anatishwa tishwa ovyoovyo. Kweli uhuru hakuna. Ccmwaondoke.
 
Ni kweli ccm wanatakiwa waondoke ila pia ni muhimu zaidi kumjua huyo atakayeingia baada ya ccm,ishu ni kuondoa tatizo na sio tu kumtoa ccm madarakani.
 
Uchaguzi wa Mwaka huu CCM mwisho itawakusanya Mpaka Wapinzani iwaombe Kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…