Je, Watanzania tumekubali na kuridhia Deusdedith Soka kupotezwa mazima?

Naam, mpaka siku mbu atakapotua kwenye "PUMBU " until mosquito 🦟 lands on testes!! Namaanisha siku akipotea "ABDUL" ndo ubaya wa hili jambo utaonekana, na utakoma πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Abdul na wenzie wana ulinzi 24/7 kwa mujibu wa sheria mpya za TISS ambazo zilifanyiwa mabadiliko 2023 pia maafisa waliongezewa kinga ya kutoshtakiwa .
 
Abdul na wenzie wana ulinzi 24/7 kwa mujibu wa sheria mpya za TISS ambazo zilifanyiwa mabadiliko 2023 pia maafisa waliongezewa kinga ya kutoshtakiwa .
Ulinzi , wa kweli unatoka kwa Mungu!! John F Kennedy wa USA alidunguliwa na snippers,mbali ya protocol ya ulinzi wa hali ya juu wa USA intelligence πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ€”πŸ€”
 
Nadhani muda mwingine jino kwa jino inaweza kusaidia kumaliza huu ujinga.
Kila mmoja wetu aunge mkono Oparesheni za NO REFORMS NO ELECTION na LINDA DEMOKRASIA.kwa hali na Mali.
 
Kabisa mkuu
Kuna muda unatamani ufanye jambo ambalo litaushangaza umma. Ili wengine wajifunze lakini unaishia kujipa muda.
Yani unampoteza mtu simply kwa kusema ukweli ili kulinda cheo ambacho kilipatikana tu kwa bahati/ulozi/kuonga/kughushi vyeti. Nonsense kabisa.
 

Yale Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yaliyotoa ruhusa ya kuua Watu kwa Maafisa wa Polisi na TISS sasa matunda yake ndio yanaonekana Wazi wazi kabisa kwa Watu kutekwa, kuteswa, kupotezwa au kuuawa.

Aidha, Mabadiliko yale ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yamewapa ruhusa Watu hao wa Tiss na Polisi kufanya Mauaji ya Watu kadiri watakavyo, na hakuna kitu chochote kile wanaweza wakafanywa. Wameruhusiwa kuua Watu bila ya wao Wauaji kuweza kushitakiwa.
 
Kiukweli siasa za Tanzania zimetuachia majuto na maumivu makubwa
 
Something must be done na tutafanya, haikubaliki hii.

Huyu Samia kateka na kaua watanzania wengi sana, na sheria ya 2023 aliyowapa kuwakinga wauaji wanausalama ni upumbavu wa karne, na hatuna Bunge pale ni upuuzi mtupu
 
Mafwele atawatapika hawa watu waliopotezwa na yeye
 
Polisi na jeshi la Tanzania ni vyombo vya kulinda serikali, hawana taimu na wananchi. Mwananchi akifanya fyoko anatundikwa risasi za moto na mwili wake kufungiwa kwenye gunia kama mzoga wa mbweha
 
its so sad losing vijana walio smart kama Soka. Machawa, na vijana wenye fikra ndogo ndio vijana pedwa kwenye nchi. Kinachoendelea chini kwetu sasa hivi ni matakeo yamfumo huu, uliowapa kipao mbele machawa, lakini vijana wajinga na kuwapotezea vijana walio smart and wenye uzelendo kwa nchi. Angalia Kinachoendelea nchi, uongo, uazi kila sehmu si wizara, polisi, wala ofisi ya raisi. Hakuna uwajibikaji. Je kama wananchi, tumwamini nani, kama ofisi za serikali hazina integrity tena?
 
Inasiktisha Sana...List ni ndefu ya waliopotezwa kwasababu za upuuzi sana.

Justice4 Soka,Mdude,Chaula,Dioyonizi,Saanane,Hangaya.Azory etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…