Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nawasalimu katika jina la Muumba.
Kila Rais anapotamka jambo, au kipindi kingine anapogusia mada fulani kwa maoni au hata kutoa ushauri siku chache mbele Waziri mwenye dhamana na mada husika lazima atatoa kauli au amri ya kushinikiza jambo lifanyike kama alivyoshauri Rais bila hata ya kuchukua maoni kwa wadau husika.
Je, hawa wateule wanaamini kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye akili sana na hawezi kuteleza au njaa ya madaraka huwafanya wasiangalie effects ya jambo lolote na madala yake hufanya kila kitu wanachoona kuwa Rais anakipenda?