Je, Wateule wa Rais wanatetea nafasi zao au wanaamini kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye akili na hawezi kukosea katika kila jambo?

Je, Wateule wa Rais wanatetea nafasi zao au wanaamini kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye akili na hawezi kukosea katika kila jambo?

Magufuli ni wa kawaida kama mwanafunzi ni wale wa C au B. Angekuwa ni wa A au A+ baada ya Form IV asingepita Mkwawa kusoma Teaching, kisha afundishe Lake Secondary na ndiyo aingie UDSM kwa mfumo wa Mature Age Matriculation.

Ila kwa bahati mbaya anajifanya ana akili sana, lakini mtupu tu
Ni wa C au D sio B
 
Watatekelez Amri ya Bwana Job kuwaongezea walimu masomo ya kufundisha
Kwa mfano Wizara ya Elimu wanaposema watafundisha historia kuanzaia ngazi ya chini; lini wizara imewaandaa hao waalimu katika vyuo vipi, mitaala imeandaliwa lini, tuna waalimu wa kutosha maana itabidi uajiri waalimu wa historia wengi zaidi.
 
Sasa hivi itafundishwa kama somo la lazima, hata MWANAFUNZI WA PCB itabidi asome history kama complusory subject ajifunze Mambo mengi ya Tz kama

1) Mashujaa waliotupeleka uchumi wa Kati,
2) Muasisi wa Mahakama ya Mafisadi,
3) Mhuishaji wa Ndoto z Baba wa Taifa kuwa na Bwawa kubwa zaid la Uzalishaji Umeme East and Central Africa n.k

Unawezaje kujiita Mzalendo wa Nchi yako bila ya kujua mambo makubwa na Mashujaa waliofanya mfano wa hayo hapo juu

Ni lini historia ilikuwa haifundishwi?
 
Nyerere, Jakaya,Mkapa na Pohamba hatukupita 'sheli' kujazia marks za kufika chuo kikuu
Magufuli ni wa kawaida kama mwanafunzi ni wale wa C au B. Angekuwa ni wa A au A+ baada ya Form IV asingepita Mkwawa kusoma Teaching, kisha afundishe Lake Secondary na ndiyo aingie UDSM kwa mfumo wa Mature Age Matriculation.

Ila kwa bahati mbaya anajifanya ana akili sana, lakini mtupu tu
 
Taasisi iliyojaa upumbavu wa hali ya juu ambao unaangamiza Nchi? Taasisi in taratibu zake ambazo ni lazima ziheshimiwe vinginevyo inakuwa taasisi ya kihuni tu. Ndiyo hata uhuni unaweza kuwa na taasisi ya wahuni ambapo mambo yanafanywa kihuni huni tu.
Unaelewa maana ya taasisi bwashee?!
 
Magufuli ni wa kawaida kama mwanafunzi ni wale wa C au D. Angekuwa ni wa A au A+ baada ya Form IV asingepita Mkwawa kusoma Teaching, kisha afundishe Lake Secondary na ndiyo aingie UDSM kwa mfumo wa Mature Age Matriculation.

Ila kwa bahati mbaya anajifanya ana akili sana, lakini mtupu tu
mwisho wake wa enzi, umeonyesha jamaa alikuwa mtupu.
 
Back
Top Bottom