Je, watoto watanichukia

Je, watoto watanichukia

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Habari zenu Wana Jf

Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu.

Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia kuwakumbatia watoto huku analia....inabid nijishushe tu mbele ya watoto wasione mshua anazingua
 
Huyo mkeo mwehu tu Kama wewe,anavumiliaje kukaa na mme anayepiga!!! Unarahisisha kabisaa eti vibao viwili vitatu......nyoooooko weeee
 
d96d4b83-85ce-4a39-bfd5-9256e0c6ef35.jpg
 
........haya mashauri ya ndoa yanayoletwa humu huwa inakuwa ngumu kumjaji au kutoa ushauri kutokana na kwamba ni ya upande mmoja.......usikute tungepata maelezo yake tungeshangaa kwa nini bado yupo na wewe hadi muda huu, Sasa Kwa kuwa wewe ndo umeleta hoja ngoja tuassume tatizo analo wife.......

Sasa basi kitendo anachofanya mkeo si kizuri kinakuharibia future kwenye bond yako na watoto, hapo anajaribu ku-sympaththize na watoto ionekane unamuonea kupita kiasi, na watoto wanajifunza vizuri Kwa vitendo.....mkija achana hutaona faida ya watoto watamjali mama na kauli yao hakuna kama mama, so fanya ufanyavyo hakikisha mambo yenu ya kugombana watoto hawahusishwi Kwa namna yoyote.......au kama vipi akimaliza kuwakuwakumbatia watoto na wewe wakumbatie then Lia hadi kamasi zitoke.......ndio maana hakuna namna Sasa.....
 
Habari zenu Wana Jf

Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu.

Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia kuwakumbatia watoto huku analia....inabid nijishushe tu mbele ya watoto wasione mshua anazingua

Kwa nini umpige MTU mzima mwenzako?
Kama hamuelewani si muachane?

Kimsingi Mwanaume anayepiga na Mwanamke anayekubali kupigwa huwaga wote nawaona hamnazo!

MTU mzima na Akili zake unampigaje?
 
Na kwanini umpige mbele ya watoto? Au chumba ni komoja

Hata kama chumba ni kimoja, ukiona MTU mzima anampiga Mkewe na huyo Mkewe akakubali kupigwa, ujue wote ni hamnazo.

Kama mnashindwa kutatua matatizo yenu Kwa Njia ya mazungumzo, ni Bora muachane kila MTU ashike hamsini zake.

Iwe ni chumbani au sebuleni au wapi, wanandoa hawapaswi kupigana,

Huyo Mwanaume akikosea atakubali kupigwa?
 
Back
Top Bottom