Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Sababu nini hadi mnagombana,ili tusaidie mawazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile kondoo pale inafanya Nini?🤣🤣🤣
Ebu ngoja kwanza.....
Umewaona wale kondoo lakini..[emoji39]
Wewe baba Ako alikua hakunyuki mbwa wewe,? MBNA Mungu anatoa vipigo kwa watoto wake na still anawapenda....acha kutuletea siasa zako.....Huyo mkeo mwehu tu Kama wewe,anavumiliaje kukaa na mme anayepiga!!! Unarahisisha kabisaa eti vibao viwili vitatu......nyoooooko weeee
Dawa ni kwenda na yeye pembeni ya watoto kujiliza.Hiyo ni mbinu ya kujisafisha kwa watoto hata kama amekosea yeye, unapoenda kujishusha mbele ya wanao unakosea wataamini unawatesea mama yao.
Kuna muda inafika mwanamke anajaa kwenye space yako unajaribu kumpa kila aina ya warning anapuuza namna rahisi ni kumchapa makofi.Hapo lazima watoto wajue we mbaya tu kwan hamuwez ongea chumbani kwenu yakaisha mpaka umpige alokuambia mwanamke anapigw nani?
Ili watoto wasielewe mbaya ni nani 😂Dawa ni kwenda na yeye pembeni ya watoto kujiliza.
Samahani mkuuKwa nini umpige MTU mzima mwenzako?
Kama hamuelewani si muachane?
Kimsingi Mwanaume anayepiga na Mwanamke anayekubali kupigwa huwaga wote nawaona hamnazo!
MTU mzima na Akili zake unampigaje?
Kwa hiyo wewe ni baba kwa mke wako???? Piga wanao siyo mkeo maskini wewe,wanaume mliofulia mna makasirikoooo balaaaaWewe baba Ako alikua hakunyuki mbwa wewe,? MBNA Mungu anatoa vipigo kwa watoto wake na still anawapenda....acha kutuletea siasa zako.....
Na wengine wamefika mbaaali zaidi wanaolewaaaaNdio maana wanaume wamekuwa wavivu kuoa maana wanakutana na tabia za hovyo sana kutoka huu upande wa pili wa jinsia.
Wanawake wa siku hizi adabu ya ndoa ni sifuri kabisa.
Habari zenu Wana Jf
Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu.
Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia kuwakumbatia watoto huku analia....inabid nijishushe tu mbele ya watoto wasione mshua anazingua
Mna umri gani? Kwani hamuwezi kuzungumza changamoto zenu bila kugombana? Watoto hawapaswi kushuhudia malumbano ya wazazi, na ikiwezekana subirini watoto walale ndio mzungumze au zungumzeni nje ya nyumbani pasipo kugombanaHabari zenu Wana Jf
Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu.
Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia kuwakumbatia watoto huku analia....inabid nijishushe tu mbele ya watoto wasione mshua anazingua
huyo mkeo anahitaji mafunzo/ushauri. Mtafutie watu wamkalishe wamweleze madhara ya tabia yake;Habari zenu Wana Jf
Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu.
Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia kuwakumbatia watoto huku analia....inabid nijishushe tu mbele ya watoto wasione mshua anazingua
Hii kauli inathibitisha huyu ni mpigaji. Uzuri wa watoto wanajifunza Kwa kuona Na kusikia hawahitaji wajazwe maneno.Mkuu mwanaume ni msimamo mke akizingua lazima achezee kipigo kidog