........haya mashauri ya ndoa yanayoletwa humu huwa inakuwa ngumu kumjaji au kutoa ushauri kutokana na kwamba ni ya upande mmoja.......usikute tungepata maelezo yake tungeshangaa kwa nini bado yupo na wewe hadi muda huu, Sasa Kwa kuwa wewe ndo umeleta hoja ngoja tuassume tatizo analo wife.......
Sasa basi kitendo anachofanya mkeo si kizuri kinakuharibia future kwenye bond yako na watoto, hapo anajaribu ku-sympaththize na watoto ionekane unamuonea kupita kiasi, na watoto wanajifunza vizuri Kwa vitendo.....mkija achana hutaona faida ya watoto watamjali mama na kauli yao hakuna kama mama, so fanya ufanyavyo hakikisha mambo yenu ya kugombana watoto hawahusishwi Kwa namna yoyote.......au kama vipi akimaliza kuwakuwakumbatia watoto na wewe wakumbatie then Lia hadi kamasi zitoke.......ndio maana hakuna namna Sasa.....