HIJA; nini maana yake kwa muktadha wa Kaaba?Hija haijaanza leo wala jana Toka wakati wa Ibrahim wanahiji, Mtu anazaliwa watu wanahiji hapo na kuna watu walikua wanaitwa Hanafi ambao walikua wakifuata Dini ya Ibrahim.
Elewa maana ya follow-up question!Elewa swali la mleta uzi na elewa jawabu alilopatiwa.
Jengo ambalo amejenga Ibrahim kwa ajili ya kumuabudu Mungu na kuamrishwa na mwenyezi Mungu Alitangaze watu wakafanye ibada toka maeneo mbalimbali Duniani. So kile kitendo cha kuacha shughuli zako na kwenda hapo ndio Hija.HIJA; nini maana yake kwa muktadha wa Kaaba?
Kujilisha upepo tu.Inasemwa Adam alikuwa Moslem.
Many do not know that there were 26 Kaabas in the Arabian Peninsula and that the Meccan Kaaba was just one of them. There was nothing unique about it.Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.
Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.
Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Logic nyepesi Ibrahim alikuwa Myaudi kwa Iman na Nasaba.Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.
Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.
Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Hao wayahudi wenyewe hawasemi Ibrahim ni myahudi, baba wa wayahudi ni mjukuu wa Ibrahim Yaqub ambaye watoto wake ndio makabila ya Israel.Logic nyepesi Ibrahim alikuwa Myaudi kwa Iman na Nasaba.
Aliishi eneo la Waisrael huko Judea.
Kwenye Imani yake hakuna sehemu anatakiwa aamini Kaaba.
Sasa alijenga kwa ajili ya nini?
Una uhakika na uwezo wako wa kuelewa?Bedouin ni waarabu wa jangwani wafugaji hawajawahi kuwa Walinzi wa kaaba, miaka yote Qaaba inalindwa na Qurayshi, na mtume ametoka kabila hilo hilo ambalo lineage yake inatoka moja kwa moja hadi kwa Ismail na Ibrahim.
Unachosema hapa ni kama mtu aulize wakazi wa Dar es Salaam then ujibu walikua ni wamaasai.
Dini yetu haifuatwi kindondocha tu, ina strict rules za kuhifadhi history yetu.Ibrahimu hajawahi kufika mecca na kujenga Kaaba ukifuatilia ushahidi wa kihistoria wengi wanadanganywa na hawa Scholars wa kiislam.
Uislam bila uongo una kufa.
Kwa hiyo ibrahim na ismail walikua waarabu au walikua wahebrania /wayahudi?🤷♂️Bedouin ni waarabu wa jangwani wafugaji hawajawahi kuwa Walinzi wa kaaba, miaka yote Qaaba inalindwa na Qurayshi, na mtume ametoka kabila hilo hilo ambalo lineage yake inatoka moja kwa moja hadi kwa Ismail na Ibrahim.
Unachosema hapa ni kama mtu aulize wakazi wa Dar es Salaam then ujibu walikua ni wamaasai.
Ongezea,katika kumpiga mawe mara nyingi wapigaji hufa badala ya mpigwaji.Ilikuwepo kabla ya Uislam na ilikuwa ikitumiwa na makabila ya Bedouin kutoka ghuba yote ya uarabuni ambapo kila mwaka mahujaji walikuwa wanaenda kuhiji.
Waislamu walipoteka na kuwafukuza wenyeji Mohammed akaweka ndani ya Kaaba jiwe alilodai malaika alimpa Ibrahim pia na viatu wanavydai ni vya Mussa ndiyo hivyo vimo mle ndani ambapo kila mwaka wanaenda kuvizunguka na sehmu nyingine wamemjengea na kumuweka shetani akae ambapo na yeye huwa wanaenda kumpiga mawe.
Uarabu una definition nyingi, kwa definition ya sasa Ibrahim ni mwarabu, kwa definition ya Asili sio mwarabu wala sio myahudi.Kwa hiyo ibrahim na ismail walikua waarabu au walikua wahebrania /wayahudi?🤷♂️
Wenyeji wa asili wa miji ya Makka na Madina ni Waarabu wa jamii ya Quraysh na makabila mengine ya Kiarabu, ambao wameishi katika maeneo hayo kwa karne nyingi kabla ya Uislamu na wakati wa Mtume Muhammad.Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naomba wenye weledi mkubwa wa historia mtujuze.
Niwatakie usiku mwema
Na jacob babu yake ni nani?Uarabu una definition nyingi, kwa definition ya sasa Ibrahim ni mwarabu, kwa definition ya Asili sio mwarabu wala sio myahudi.
Ibrahim anatoka Iraq, sehemu inaitwa Babylon so alikua ni Babylonia, waarabu wa asili wanaishi Kusini mwa Iraq kwenye jangwa, sehemu ambayo Ibrahim alimpeleka mwanae ismail,
Wayahudi wao baba yao ni Jacob, na makabila 12 ya kiyahudi ni watoto ya Jacob,
Dini ya Ibrahim ndio ipi waliyokifuata hao Hanaf?Hija haijaanza leo wala jana Toka wakati wa Ibrahim wanahiji, Mtu anazaliwa watu wanahiji hapo na kuna watu walikua wanaitwa Hanafi ambao walikua wakifuata Dini ya Ibrahim.
Unaweza kuthibitisha Ibrahim aliwahi kuwa Saudi Arabia akajenga Kaaba?Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.
Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.
Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Baba yake Jacob ni nani?Uarabu una definition nyingi, kwa definition ya sasa Ibrahim ni mwarabu, kwa definition ya Asili sio mwarabu wala sio myahudi.
Ibrahim anatoka Iraq, sehemu inaitwa Babylon so alikua ni Babylonia, waarabu wa asili wanaishi Kusini mwa Iraq kwenye jangwa, sehemu ambayo Ibrahim alimpeleka mwanae ismail,
Wayahudi wao baba yao ni Jacob, na makabila 12 ya kiyahudi ni watoto ya Jacob,
Kwani Ishmael ni mtoto wa nani?Unaweza kuthibitisha Ibrahim aliwahi kuwa Saudi Arabia akajenga Kaaba?
Hili jawabu linahitaji maelezo marefu sana na sidhani kama tutamtendea haki zaidi mleta Uzi.Kwa nini hao Israel wanaodaiwa kuwa ni watotp wake hawakuwahi kuamini katika Kaaba??