Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.

Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.

Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Many do not know that there were 26 Kaabas in the Arabian Peninsula and that the Meccan Kaaba was just one of them. There was nothing unique about it.
1729980802413.png
https://oilgasindustries.quora.com › ...
https://oilgasindustries.quora.com/...do not know that,was nothing unique about it.
How many Kaaba was there in the Arabian Peninsula?
 
Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.

Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.

Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Logic nyepesi Ibrahim alikuwa Myaudi kwa Iman na Nasaba.
Aliishi eneo la Waisrael huko Judea.
Kwenye Imani yake hakuna sehemu anatakiwa aamini Kaaba.

Sasa alijenga kwa ajili ya nini?
 
Logic nyepesi Ibrahim alikuwa Myaudi kwa Iman na Nasaba.
Aliishi eneo la Waisrael huko Judea.
Kwenye Imani yake hakuna sehemu anatakiwa aamini Kaaba.

Sasa alijenga kwa ajili ya nini?
Hao wayahudi wenyewe hawasemi Ibrahim ni myahudi, baba wa wayahudi ni mjukuu wa Ibrahim Yaqub ambaye watoto wake ndio makabila ya Israel.

Ibrahim ni mtu wa Iraq ya leo, kaishi huko Babylon. Kwa definition ya sasa ni mwarabu.
 
Bedouin ni waarabu wa jangwani wafugaji hawajawahi kuwa Walinzi wa kaaba, miaka yote Qaaba inalindwa na Qurayshi, na mtume ametoka kabila hilo hilo ambalo lineage yake inatoka moja kwa moja hadi kwa Ismail na Ibrahim.

Unachosema hapa ni kama mtu aulize wakazi wa Dar es Salaam then ujibu walikua ni wamaasai.
Una uhakika na uwezo wako wa kuelewa?
 
Ibrahimu hajawahi kufika mecca na kujenga Kaaba ukifuatilia ushahidi wa kihistoria wengi wanadanganywa na hawa Scholars wa kiislam.

Uislam bila uongo una kufa.
Dini yetu haifuatwi kindondocha tu, ina strict rules za kuhifadhi history yetu.

Dini ya Hanafi ilikuwepo kabla ya Mtume, na ipo recorded kihistoria, why uisilamu udanganye kitu ambacho tayari inajulikana?

Hanafi/Hunafa ni dini ambayo ina fuata mafundisho ya Ibrahim ilikuwepo mecca kabla ya Mtume wetu Muhammad (S. A. W) hajazaliwa, wapo kwenye Hio kaaba ya maelfu ya miaka na wapo recorder kwenye vitabu vya kigiriki way before hata Quran Haijashushwa.

Tafuta kitabu kinaitwa "Ecclesiastical History of Sozomen" ambacho kimeandikwa kabla ya uisilamu inaelezea dini ya Ibrahim ambayo waarabu walikua wanafuata.
 
Bedouin ni waarabu wa jangwani wafugaji hawajawahi kuwa Walinzi wa kaaba, miaka yote Qaaba inalindwa na Qurayshi, na mtume ametoka kabila hilo hilo ambalo lineage yake inatoka moja kwa moja hadi kwa Ismail na Ibrahim.

Unachosema hapa ni kama mtu aulize wakazi wa Dar es Salaam then ujibu walikua ni wamaasai.
Kwa hiyo ibrahim na ismail walikua waarabu au walikua wahebrania /wayahudi?🤷‍♂️
 
Ilikuwepo kabla ya Uislam na ilikuwa ikitumiwa na makabila ya Bedouin kutoka ghuba yote ya uarabuni ambapo kila mwaka mahujaji walikuwa wanaenda kuhiji.

Waislamu walipoteka na kuwafukuza wenyeji Mohammed akaweka ndani ya Kaaba jiwe alilodai malaika alimpa Ibrahim pia na viatu wanavydai ni vya Mussa ndiyo hivyo vimo mle ndani ambapo kila mwaka wanaenda kuvizunguka na sehmu nyingine wamemjengea na kumuweka shetani akae ambapo na yeye huwa wanaenda kumpiga mawe.
Ongezea,katika kumpiga mawe mara nyingi wapigaji hufa badala ya mpigwaji.
 
Kwa hiyo ibrahim na ismail walikua waarabu au walikua wahebrania /wayahudi?🤷‍♂️
Uarabu una definition nyingi, kwa definition ya sasa Ibrahim ni mwarabu, kwa definition ya Asili sio mwarabu wala sio myahudi.

Ibrahim anatoka Iraq, sehemu inaitwa Babylon so alikua ni Babylonia, waarabu wa asili wanaishi Kusini mwa Iraq kwenye jangwa, sehemu ambayo Ibrahim alimpeleka mwanae ismail,

Wayahudi wao baba yao ni Jacob, na makabila 12 ya kiyahudi ni watoto ya Jacob,
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Naomba wenye weledi mkubwa wa historia mtujuze.

Niwatakie usiku mwema
Wenyeji wa asili wa miji ya Makka na Madina ni Waarabu wa jamii ya Quraysh na makabila mengine ya Kiarabu, ambao wameishi katika maeneo hayo kwa karne nyingi kabla ya Uislamu na wakati wa Mtume Muhammad.

Katika kipindi hicho, Makka ilikuwa kitovu cha kibiashara na kidini kutokana na uwepo wa Al-Kaaba, wakati Madina (iliyojulikana kama Yathrib kabla ya Uislamu) ilikuwa na jamii tofauti za kikabila za Waarabu na Wayahudi.

Baada ya Uislamu kuenea, ukoo wa Mtume Muhammad uliendelea kuwa na ushawishi mkubwa, lakini hatimaye udhibiti wa Makka na Madina ulichukuliwa na watawala mbalimbali, hadi familia ya Al-Saud ilipodhibiti maeneo hayo katika karne ya 18 na mwanzoni mwa karne ya 20, na kuunda Saudi Arabia.

Ingawa ukoo wa Al-Saud ndiyo wenye mamlaka sasa, wengi wao hawatoki kwenye kabila la Quraysh wala kutoka kwa wenyeji wa asili wa Makka na Madina.

Hata hivyo, wanaendeleza uongozi wao kwa misingi ya kisiasa na dini, huku wakipata uhalali wa kidini kutokana na kulinda na kuendesha miji mitakatifu.

Ova
 
Uarabu una definition nyingi, kwa definition ya sasa Ibrahim ni mwarabu, kwa definition ya Asili sio mwarabu wala sio myahudi.

Ibrahim anatoka Iraq, sehemu inaitwa Babylon so alikua ni Babylonia, waarabu wa asili wanaishi Kusini mwa Iraq kwenye jangwa, sehemu ambayo Ibrahim alimpeleka mwanae ismail,

Wayahudi wao baba yao ni Jacob, na makabila 12 ya kiyahudi ni watoto ya Jacob,
Na jacob babu yake ni nani?

Kuna uwezekano wa baba msukuma kuzaa mtoto mmakonde?
 
Kaaba ilijengwa na Ibrahim ambaye dini zote wanamuita ni baba wa imani.

Ikiwa yeye ndiye mjenzi akisaidiwa na mwanaye Ishmael bila shaka aliijenga kwa makusidio maalumu.

Tukitumia logic ya kawaida hao miungu uliyowataja ndiyo alikuwa anawaabudu Ibrahim?
Unaweza kuthibitisha Ibrahim aliwahi kuwa Saudi Arabia akajenga Kaaba?
Kwa nini hao Israel wanaodaiwa kuwa ni watotp wake hawakuwahi kuamini katika Kaaba??
 
Uarabu una definition nyingi, kwa definition ya sasa Ibrahim ni mwarabu, kwa definition ya Asili sio mwarabu wala sio myahudi.

Ibrahim anatoka Iraq, sehemu inaitwa Babylon so alikua ni Babylonia, waarabu wa asili wanaishi Kusini mwa Iraq kwenye jangwa, sehemu ambayo Ibrahim alimpeleka mwanae ismail,

Wayahudi wao baba yao ni Jacob, na makabila 12 ya kiyahudi ni watoto ya Jacob,
Baba yake Jacob ni nani?
Babu yake Jacob ni nani?
 
Back
Top Bottom