Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

Hoja yako hii ina ignore uwepo wa Hanafi/Hunafa watu ambao wapo kabla ya karne ya 7 hapo arabia ambao specific wanafuata Ibrahim teachings Na Dini yao yote ina revolve around hio Qaaba, Mtume anakuja amewakuta.
 
Ibrahim na Mecca ni story iliopikwa; Ibrahim wala nabii yoyote wa kale hawajawahi kwenda Mecca wala Saudia, ni uongo. Wale manabii wa kale wana historia na Misri na sio Saudia. Walau wangenambia habari za Syria ningeelewa, Saudia na kina Ibrahim ni uongo. Syria ndio Samaria hiyo sawa, kwingine ni mapishi tu ili ku justify Uislamu
 
Logic nyepesi Ibrahim alikuwa Myaudi kwa Iman na Nasaba.
Aliishi eneo la Waisrael huko Judea.
Kwenye Imani yake hakuna sehemu anatakiwa aamini Kaaba.

Sasa alijenga kwa ajili ya nini?
Logic nyepesi zaidi ibrahim (alayhi salaam) hajawahi kuwa myahudi na kipindi chake hakukuwa na wayahudi alikuwa muislamu aliye submit kwa mola mmoja muumba wa kila kitu Allah( the almighty) na ningependa zaidi tuongee kwa hoja na dalili kama upo interested .
 
Aisee umetisha ...shukran xnaa
 
Hivi ninyi sio ndio huwa mnadai uislam ulikuwepo toka enzi za Adam na manabii wote waliotajwa na Mudi ni waislam?

Sasa hizi hadithi za “kabla ya uislam” unazitoa wapi mkuu
 
Ukifuatilia kwenye vitabu vya kiislamu, wanasema Ibrahim alikuwa anamtumia mnyama anayeitwa rukabu, kusafiri nae Toka Jerusalem hadi macca,

Ukweli Ibrahim alikuwa akisafiri from Syria to Jerusalem,
 
Correct; from Syria to Israel, Saudia hajawahi kwenda. Quran imekuja miaka 640 baada ya Yesu wakati hizo records za Ibrahim zikiwa zimeisha andikwa over 2000 years back. Again if Abraham could be moving to those areas then Wayahudi na Waarabu wangekua marafiki, wangekua na imani moja to-date
Ukifuatilia kwenye vitabu vya kiislamu, wanasema Ibrahim alikuwa anamtumia mnyama anayeitwa rukabu, kusafiri nae Toka Jerusalem hadi macca,

Ukweli Ibrahim alikuwa akisafiri from Syria to Jerusalem,
 
Madina Minora ni Mji wa Bani Israel kabla ya Muhammed na wafuasi wake kuuvamia.
 
Sasa nimejiridhisha pasipo Shaka yoyote kwamba Uislamu umejaa uongo sana. Wakati wa Adam, watu walikua nchini Iraq pekee yake, sehemu zingine hazikua na watu kabisa. Adamu na Saudia wapi na wapi? Afadhari walau ungeitaja hata Iran basi, mahali palipokua karibu. Kwa taarifa yenu tu; wenyeji wa mji wa Makka wana asili ya Syria ya Damascus; hao watu kutoka Damascus (Syria zamani ilijulikana kama Samaria na mji wake mkuu haujawahi kubadirika ) hao wa Syria ni combination ya watu wa aina 2, makabila 10 ya Ki Israel na wenyeji wa pale Syria, enzi za Ibrahim Saudia hakukua na kiumbe anaishi, dunia haikua na watu wengi hivo bro. Hilo jiwe jeusi, ilikuaga inafanyikia ibada za wenyeji wa hapo, masanamu nk; sawa sawa tu na Wachagga walivokua wakiabudu katika Mlima Kilimanjaro, makabila mengine kwenye mti mkubwa nk. Kama ambavyo Roman Catholic walivo ibadirisha siku ya tarehe 25 December na kuifanya kua siku ya kuzaliwa Yesu ndio hivo hivo na Uislamu ulivoipiga rangi hilo jiwe, jiwe lilikua kwa ajili ya ibada ya sanamu, Uislamu umekuja ndio pakabadirishwa na kupafanya hivo ilivo leo. Narudia, Adam, Ibrahim na yeyote hawajawahi kufika Saudia. Ibrahim ana historia ya Iraq, Israel/Palestina na Misri baasi, hizo nchi 3
 
Sasa kama wamemjengea akae kwa nini wanampiga mawe ten Kweli kuishi kwingi ni kusikia mengi
 
Uislamu ulianzishwa na mtume Mohamed ambaye mama yake Jehanam mama wa Yesu Kristo amebarikiwa kuliko wanawake wotena ni mtu wa peponi kwa kujibu wa Qoran ambayo haukuwepo kabla ya mtume hivyo Ibrahim haujui.
 
Kwa Makka wenyeji ni waarabu wa Koo za kikuraishi.

Ndio walikuwa watawala na walikuwa wanalinda Kaaba.
Al kaaba si ilikuja na Uislam? Kabla ya kuja Uislam wenyeji walikuwa akina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…