Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

Ujue hoja inaanza mwanzo kabisa kwenye habari ya Ibrahim kwenda Mecca na kujenga Kaaba,mitume wengine kwenda Mecca hija ni mada nyingine pana maana baada ya Ibrahim wamepita manabii wengi ambao kwa uzito wa sehemu ya Mecca kujengwa na Ibrahim wangeizungumzia kwa upana pia na Ingekua sehemu ya dini ya kiyahudi kufuata hayo mafundisho lakini hatuoni hayo mafundisho kwa upana huo hadi baadae karne ya 7
Hoja yako hii ina ignore uwepo wa Hanafi/Hunafa watu ambao wapo kabla ya karne ya 7 hapo arabia ambao specific wanafuata Ibrahim teachings Na Dini yao yote ina revolve around hio Qaaba, Mtume anakuja amewakuta.
 
Ujue hoja inaanza mwanzo kabisa kwenye habari ya Ibrahim kwenda Mecca na kujenga Kaaba,mitume wengine kwenda Mecca hija ni mada nyingine pana maana baada ya Ibrahim wamepita manabii wengi ambao kwa uzito wa sehemu ya Mecca kujengwa na Ibrahim wangeizungumzia kwa upana pia na Ingekua sehemu ya dini ya kiyahudi kufuata hayo mafundisho lakini hatuoni hayo mafundisho kwa upana huo hadi baadae karne ya 7
Ibrahim na Mecca ni story iliopikwa; Ibrahim wala nabii yoyote wa kale hawajawahi kwenda Mecca wala Saudia, ni uongo. Wale manabii wa kale wana historia na Misri na sio Saudia. Walau wangenambia habari za Syria ningeelewa, Saudia na kina Ibrahim ni uongo. Syria ndio Samaria hiyo sawa, kwingine ni mapishi tu ili ku justify Uislamu
 
Logic nyepesi Ibrahim alikuwa Myaudi kwa Iman na Nasaba.
Aliishi eneo la Waisrael huko Judea.
Kwenye Imani yake hakuna sehemu anatakiwa aamini Kaaba.

Sasa alijenga kwa ajili ya nini?
Logic nyepesi zaidi ibrahim (alayhi salaam) hajawahi kuwa myahudi na kipindi chake hakukuwa na wayahudi alikuwa muislamu aliye submit kwa mola mmoja muumba wa kila kitu Allah( the almighty) na ningependa zaidi tuongee kwa hoja na dalili kama upo interested .
 
Kaaba sio jengo......ni Mahali matakatufu penye jiwe jeusi mbele ya Msikiti wa Makka Masjid Alharam.

Msikiti ambao kwa mujibu wa Waislam msingi wake ulijengwa na Nabii Adamu na kukamilishwa jengo na Nabii Ibrahim Alhysalam.

Kwa maana hiyo ukaitwa Msikiti wa Al Kaaba.

Kabla ya kuzaliwa Mtume Muhammad na Kabla ya kuzaliwa Baba Yake Abdallah na kabla ya kuzaliwa Babu yake Abu Twarib Al-kaaba ilikuwepo na ikiendeleza ibada ya Hijjah ya kipagani.

Kabla la Ukoo wa Makoreshi ndio lilikuwa Tukufu na ndilo hilo lenye mamlaka ya yoote juu ya yote ndani ya Saudia kwa sasa ni kina Salmin Mwana wa Mfalme.
Aisee umetisha ...shukran xnaa
 
Dini yetu haifuatwi kindondocha tu, ina strict rules za kuhifadhi history yetu.

Dini ya Hanafi ilikuwepo kabla ya Mtume, na ipo recorded kihistoria, why uisilamu udanganye kitu ambacho tayari inajulikana?

Hanafi/Hunafa ni dini ambayo ina fuata mafundisho ya Ibrahim ilikuwepo mecca kabla ya Mtume wetu Muhammad (S. A. W) hajazaliwa, wapo kwenye Hio kaaba ya maelfu ya miaka na wapo recorder kwenye vitabu vya kigiriki way before hata Quran Haijashushwa.

Tafuta kitabu kinaitwa "Ecclesiastical History of Sozomen" ambacho kimeandikwa kabla ya uisilamu inaelezea dini ya Ibrahim ambayo waarabu walikua wanafuata.
Hivi ninyi sio ndio huwa mnadai uislam ulikuwepo toka enzi za Adam na manabii wote waliotajwa na Mudi ni waislam?

Sasa hizi hadithi za “kabla ya uislam” unazitoa wapi mkuu
 
Ibrahim na Mecca ni story iliopikwa; Ibrahim wala nabii yoyote wa kale hawajawahi kwenda Mecca wala Saudia, ni uongo. Wale manabii wa kale wana historia na Misri na sio Saudia. Walau wangenambia habari za Syria ningeelewa, Saudia na kina Ibrahim ni uongo. Syria ndio Samaria hiyo sawa, kwingine ni mapishi tu ili ku justify Uislamu
Ukifuatilia kwenye vitabu vya kiislamu, wanasema Ibrahim alikuwa anamtumia mnyama anayeitwa rukabu, kusafiri nae Toka Jerusalem hadi macca,

Ukweli Ibrahim alikuwa akisafiri from Syria to Jerusalem,
 
Correct; from Syria to Israel, Saudia hajawahi kwenda. Quran imekuja miaka 640 baada ya Yesu wakati hizo records za Ibrahim zikiwa zimeisha andikwa over 2000 years back. Again if Abraham could be moving to those areas then Wayahudi na Waarabu wangekua marafiki, wangekua na imani moja to-date
Ukifuatilia kwenye vitabu vya kiislamu, wanasema Ibrahim alikuwa anamtumia mnyama anayeitwa rukabu, kusafiri nae Toka Jerusalem hadi macca,

Ukweli Ibrahim alikuwa akisafiri from Syria to Jerusalem,
 
Madina Minora ni Mji wa Bani Israel kabla ya Muhammed na wafuasi wake kuuvamia.
 
Kaaba sio jengo......ni Mahali matakatufu penye jiwe jeusi mbele ya Msikiti wa Makka Masjid Alharam.

Msikiti ambao kwa mujibu wa Waislam msingi wake ulijengwa na Nabii Adamu na kukamilishwa jengo na Nabii Ibrahim Alhysalam.

Kwa maana hiyo ukaitwa Msikiti wa Al Kaaba.

Kabla ya kuzaliwa Mtume Muhammad na Kabla ya kuzaliwa Baba Yake Abdallah na kabla ya kuzaliwa Babu yake Abu Twarib Al-kaaba ilikuwepo na ikiendeleza ibada ya Hijjah ya kipagani.

Kabla la Ukoo wa Makoreshi ndio lilikuwa Tukufu na ndilo hilo lenye mamlaka ya yoote juu ya yote ndani ya Saudia kwa sasa ni kina Salmin Mwana wa Mfalme.
Sasa nimejiridhisha pasipo Shaka yoyote kwamba Uislamu umejaa uongo sana. Wakati wa Adam, watu walikua nchini Iraq pekee yake, sehemu zingine hazikua na watu kabisa. Adamu na Saudia wapi na wapi? Afadhari walau ungeitaja hata Iran basi, mahali palipokua karibu. Kwa taarifa yenu tu; wenyeji wa mji wa Makka wana asili ya Syria ya Damascus; hao watu kutoka Damascus (Syria zamani ilijulikana kama Samaria na mji wake mkuu haujawahi kubadirika ) hao wa Syria ni combination ya watu wa aina 2, makabila 10 ya Ki Israel na wenyeji wa pale Syria, enzi za Ibrahim Saudia hakukua na kiumbe anaishi, dunia haikua na watu wengi hivo bro. Hilo jiwe jeusi, ilikuaga inafanyikia ibada za wenyeji wa hapo, masanamu nk; sawa sawa tu na Wachagga walivokua wakiabudu katika Mlima Kilimanjaro, makabila mengine kwenye mti mkubwa nk. Kama ambavyo Roman Catholic walivo ibadirisha siku ya tarehe 25 December na kuifanya kua siku ya kuzaliwa Yesu ndio hivo hivo na Uislamu ulivoipiga rangi hilo jiwe, jiwe lilikua kwa ajili ya ibada ya sanamu, Uislamu umekuja ndio pakabadirishwa na kupafanya hivo ilivo leo. Narudia, Adam, Ibrahim na yeyote hawajawahi kufika Saudia. Ibrahim ana historia ya Iraq, Israel/Palestina na Misri baasi, hizo nchi 3
 
Ilikuwepo kabla ya Uislam na ilikuwa ikitumiwa na makabila ya Bedouin kutoka ghuba yote ya uarabuni ambapo kila mwaka mahujaji walikuwa wanaenda kuhiji.

Waislamu walipoteka na kuwafukuza wenyeji Mohammed akaweka ndani ya Kaaba jiwe alilodai malaika alimpa Ibrahim pia na viatu wanavydai ni vya Mussa ndiyo hivyo vimo mle ndani ambapo kila mwaka wanaenda kuvizunguka na sehmu nyingine wamemjengea na kumuweka shetani akae ambapo na yeye huwa wanaenda kumpiga mawe.
Sasa kama wamemjengea akae kwa nini wanampiga mawe ten Kweli kuishi kwingi ni kusikia mengi
 
Logic nyepesi zaidi ibrahim (alayhi salaam) hajawahi kuwa myahudi na kipindi chake hakukuwa na wayahudi alikuwa muislamu aliye submit kwa mola mmoja muumba wa kila kitu Allah( the almighty) na ningependa zaidi tuongee kwa hoja na dalili kama upo interested .
Uislamu ulianzishwa na mtume Mohamed ambaye mama yake Jehanam mama wa Yesu Kristo amebarikiwa kuliko wanawake wotena ni mtu wa peponi kwa kujibu wa Qoran ambayo haukuwepo kabla ya mtume hivyo Ibrahim haujui.
 
Kwa Makka wenyeji ni waarabu wa Koo za kikuraishi.

Ndio walikuwa watawala na walikuwa wanalinda Kaaba.
Al kaaba si ilikuja na Uislam? Kabla ya kuja Uislam wenyeji walikuwa akina nani?
 
Back
Top Bottom