Dini yetu haifuatwi kindondocha tu, ina strict rules za kuhifadhi history yetu.
Dini ya Hanafi ilikuwepo kabla ya Mtume, na ipo recorded kihistoria, why uisilamu udanganye kitu ambacho tayari inajulikana?
Hanafi/Hunafa ni dini ambayo ina fuata mafundisho ya Ibrahim ilikuwepo mecca kabla ya Mtume wetu Muhammad (S. A. W) hajazaliwa, wapo kwenye Hio kaaba ya maelfu ya miaka na wapo recorder kwenye vitabu vya kigiriki way before hata Quran Haijashushwa.
Tafuta kitabu kinaitwa "Ecclesiastical History of Sozomen" ambacho kimeandikwa kabla ya uisilamu inaelezea dini ya Ibrahim ambayo waarabu walikua wanafuata.