Je, watu wa mikoani na vijijini wakianza vitimbwi wanavyofanyiwa wakienda kwa ndugu zao wa Dar patatosha?

muda wa kupakua msosii watu wa mjini/dsm wanakodoa mimachoooo manake wanawaza mgeni akipakua kingii je kitakachobaki kitawatosha na wengineee ....hasa watu wa kanda ya ziwa wanapenda ubwabwaa na maharagweee sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani vurugu tupu
 
Mimi nilifika dar.usiku saa tano kuangaza mwenyeji hayupo ubungo.kupiga sim hapatikani hee.baada ya masaa mawili ndio napigiwa na dada wa kazi umefika wapi dada kalala, chukua bodaboda ikupeleke fery uvuke kuja kigamboni saa saba na nusu hiyo usiku.nafika kigamboni sim haipatikani nikakaa hapo na walinzi baadae anapiga chukua boda tena ikulete dege.hata dege sipajui jamani huyo boda boda alikua ana pepeza pikipiki kila nikitaka kuongea midomo haiwezi sababu ya supidi, Tukawa tunatokomea tu nauliza bado anasema bado saa tisa usiku hiyo, mpaka nafika saa kumi.kufika hamna maji ya kuoga hamna chakula.nikalala nashtuka saa kumi ba mbili dada ananiambia amka tufanye usafi nikasema bado napumzika.Akasema Lazima tutoe magodoro.Nikahamia sebuleni ile usingizi unaanza naambiwa hata hapo nakuja kakae nje.Dah sitasahau nimeacha mkoani mjengo wangu wa maana kitanda nateseka wallah nilitoa chozi.Nilipata homa kali sikununua hata biashara nikarudi nyumbani baada ya siku tatu.mpaka leo nikija Dar nina ndugu lakini nafikia Hotel.Bora lawama kuliko fedheha

Mchoyo kweli dada ako
 
Hahaha Iyo ndo Dar sasa, ulidhani mchezo
 
Watu hawapendi wageni siku hizi kila mtu anataka aishi na familia yake tu
Wachache sana watakukarimu tena uwe na pesa utakaribishwa vizuri
Uwe huna kitu sasa ehehhe unaamshwa asubuhi ufagie
 
Wa DSM wanakiwaga wajanja sana mikoani... ukiibuka kwao wamechoka sana. huwa nashangaa eti familia ya watoto 6, mke na Mme wana kula mchele kilo moja... wao wanaujazo gani Wa matumbo?

watoto wangu watatu Range, Median na Mode wanaikamua kilo na hawabakizi hata punje.

DSM mnakwama wapi?...
Mwana Takwimu Umeniua mbavu...!! Wape Hai Wanao.... Kweli JF Raha anayaka Ifungwe alaaniwe... Afe aoze anuke
 
Yaani yalinikuta nimeenda mtembelea rafiki yangu.watoto wanakuja toka shule hawana time na mgeni wanaambiwa msalimieni mgeni wanauliza mgeni gani? Wa wapi nikabaki mdomo wazi.wanasema kwani mgeni hana kwao?
Dah..!! Hii kiboko wallah
 
Hahaaaa pole mkuu na alilipia kweli nauli ya boda maana kutoka ferry mpaka dege kwa usiku boda hua wanakomaa cha ten 10000
 
Sie wengine tunatenda yale ambayo hata sisi tunatendewa mkuu
 
Ma** wa Mbande alidai nimegombana na houseboy wake huku akidai nimeiba inverter yake kitu ambacho sio kweli. Alikua akija akakuta umechaji simu anagomba vibaya sana.
 
Mimi nilifika dar.usiku saa tano kuangaza mwenyeji hayupo ubungo.kupiga sim hapatikani hee.baada ya masaa mawili ndio napigiwa na dada wa kazi umefika wapi dada kalala, chukua bodaboda ikupeleke fery uvuke kuja kigamboni saa saba na nusu hiyo usiku.nafika kigamboni sim haipatikani nikakaa hapo na walinzi baadae anapiga chukua boda tena ikulete dege.hata dege sipajui jamani huyo boda boda alikua ana pepeza pikipiki kila nikitaka kuongea midomo haiwezi sababu ya supidi, Tukawa tunatokomea tu nauliza bado anasema bado saa tisa usiku hiyo, mpaka nafika saa kumi.kufika hamna maji ya kuoga hamna chakula.nikalala nashtuka saa kumi ba mbili dada ananiambia amka tufanye usafi nikasema bado napumzika.Akasema Lazima tutoe magodoro.Nikahamia sebuleni ile usingizi unaanza naambiwa hata hapo nakuja kakae nje.Dah sitasahau nimeacha mkoani mjengo wangu wa maana kitanda nateseka wallah nilitoa chozi.Nilipata homa kali sikununua hata biashara nikarudi nyumbani baada ya siku tatu.mpaka leo nikija Dar nina ndugu lakini nafikia Hotel.Bora lawama kuliko fedheha
Ur case is Unique![emoji12]
 
Huyo nduguyo ni mshenzi
 
We kijana umenikumbusha mbali sana, kijijini kwetu ukimkosa mwenyeji wako unaweza kulala kwa yeyote na siku nyingine utasaidiwa kufika unapoenda

Mimi nilikuja kwenu mwenyeji alipotea kwenye simu, akajitolea kijana mmoja nikadhani mwema kumbe alikuwa anamvizia jogoo niliyombebea ndugu yangu kama zawadi

Hadi inakuja akili ya kwenda Nyumba ya wageni nilikuwa nimeibiwa hela zote, nisingikutana na watu wa nyumbani ningerudi kijijini kwetu kwa miguu

Siji tena Dar... hamna utu nyie watu
 
Mimi nilifika dar.usiku saa tano kuangaza mwenyeji hayupo ubungo.kupiga sim hapatikani hee.baada ya masaa mawili ndio napigiwa na dada wa kazi umefika wapi dada kalala, chukua bodaboda ikupeleke fery uvuke kuja kigamboni saa saba na nusu hiyo usiku.nafika kigamboni sim haipatikani nikakaa hapo na walinzi baadae anapiga chukua boda tena ikulete dege.hata dege sipajui jamani huyo boda boda alikua ana pepeza pikipiki kila nikitaka kuongea midomo haiwezi sababu ya supidi, Tukawa tunatokomea tu nauliza bado anasema bado saa tisa usiku hiyo, mpaka nafika saa kumi.kufika hamna maji ya kuoga hamna chakula.nikalala nashtuka saa kumi ba mbili dada ananiambia amka tufanye usafi nikasema bado napumzika.Akasema Lazima tutoe magodoro.Nikahamia sebuleni ile usingizi unaanza naambiwa hata hapo nakuja kakae nje.Dah sitasahau nimeacha mkoani mjengo wangu wa maana kitanda nateseka wallah nilitoa chozi.Nilipata homa kali sikununua hata biashara nikarudi nyumbani baada ya siku tatu.mpaka leo nikija Dar nina ndugu lakini nafikia Hotel.Bora lawama kuliko fedheha
Ha ha ha alikunyoosha unapenda mseleleko.
 
Hali duni ya maisha inachangia, mtu ana room moja kwa siku akitumia 3000 kafuja pesa, Hana ajira ya maana huyo kuku unaesema anachinjiwa akipenda mkoa huku anaishiaga kula miguu tena mabroiler, Sometimes mkoani inatakiwa ijulikane ni sehemu ambayo tukienda tunaenda kurefresh mind, Huku Dar ni vitani, Sasa ndugu kaja kukutembelea vitani anategemea nini? Hatukatai kutembelewa ila wanatakiwa kujua huku ukisimama nchale ukiinuka nchale.
UMEONGEA UKWELI WA MUNGU. DAR LIFE NI GUMU SANA.
NILIPOKUWA DAR HATA KULA KITIMOTO NUSU ILIKUWA NI ANASA KUBWA. SASA HIVI HUKU IRINGA ANGALAU NAPATA MARA MOJA KWA WIKI NUSU YA 3500.
 
Alikuaja Dar kwa mdogo wake toka ntoke mzee mmoja wa kipare anaitwa Mshana. Mdogo wa Mshana akachinja kuku Safi kabisa. Kule upareni Kama kuku imechinjwa wakati wa kula mnaanza na ugali tonge mbili tatu ndio yule mkubwa kuliko wote anaokota nyama , usually anaokota paja ,then anafuatia mwingine kwa ukubwa hivyo hivyo mpaka mdogo kabisa anaambulia ATC.
Sasa mzee wa kipare toka bush wakati anaanza kunawishwa yeye akajua taratibu za kipare zitazingatiwa. Ile mzee amekata tonge la kwanza akakuta watoto wa mdogo wake yaani watoto wa mjini Mwananyama ndaani ndani walishachukua nyama zote nzuri na kwenye sahani kimebaki kipande Cha shingo.
 
Back
Top Bottom