Circuit Breaker
Senior Member
- Mar 31, 2021
- 158
- 347
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani vurugu tupumuda wa kupakua msosii watu wa mjini/dsm wanakodoa mimachoooo manake wanawaza mgeni akipakua kingii je kitakachobaki kitawatosha na wengineee ....hasa watu wa kanda ya ziwa wanapenda ubwabwaa na maharagweee sana