MABATI YA SUNBAK TANZANIA JF-Expert Member Joined Jan 10, 2025 Posts 217 Reaction score 577 May 28, 2025 #1 Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa . Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi? Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina.
Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa . Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi? Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 May 28, 2025 #2 Yawezekana wasikilizaji hawanogewi na mafundisho hadi wasikie habari za uchawi.
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,188 May 28, 2025 #3 Hawawezo kabisa mkuu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 May 28, 2025 #4 Multaza Hr said: Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa . Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi? Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina. Click to expand... Una hakika ni watumishi wa Mungu parsee?
Multaza Hr said: Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa . Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi? Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina. Click to expand... Una hakika ni watumishi wa Mungu parsee?
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,523 Reaction score 30,084 May 28, 2025 #5 Multaza Hr said: Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa . Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi? Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina. Click to expand... Wasikilizaji hasa wanawake wa siku hizi wanashabikia sana uchawi na ndio wanaojaza viwanja.
Multaza Hr said: Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa . Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi? Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina. Click to expand... Wasikilizaji hasa wanawake wa siku hizi wanashabikia sana uchawi na ndio wanaojaza viwanja.