ni vema ungeweka wazi ili tujue kama kadi ilitumbukia ndani (ulimwaga ndani?) o nje? na kwa ufahamu wangu mwanamke mwenye bikra anaweza kushika mimba. na namna ya kutambua ujauzito kama unahisi baada ya kupitisha siku za mzunguko kama wiki 1, waweza enda nunua kipimio cha mimba kinauzwa buku halafu kuna mistari itakuonyesha pale ikija mi2 ujue kitu tayari,ukija mmoja hakuna, ila kama ni mimba changa mistari itakuwa hafifu yakupasa kuwa makini.
USHAURI;
epuka ngono zembe, usiogope mimba ogopa VVU, halafu angalia usimwaribie dent wa watu maisha, anaweza kuwa msaada tosha kwa familia yake hasa kwa maisha aya tunayoenda. na akiwa chini ya miaka 18 ujue tunakuunganisha na wabakaji wengine.