Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habari zenu!
Kuna dent mmoja ambaye nimedate naye ila alinisumbua sana wakati wa ku do nasidhani kama nilifanikiwa kuvunja bikra yake kwa kuwa alikuwa akijibana mno.
Je inawezekana akashka mimba na huku bikra yake sijafanikiwa kuiondoa?
Wakuu naombeni mnifunze juu ya hili pia! Ni muda gani mimba huanza kujionyesha?
duu kweli,unaza ukasoma vitabu vyote lkn ukafeli vibaya mtihani wa kumuelewa mwanamkeUnajuaje kama ni bikra........
labda ilishaondolewa siku nyingi
akawa anakuzuga tu....
duu kweli,unaza ukasoma vitabu vyote lkn ukafeli vibaya mtihani wa kumuelewa mwanamke
we mwanamke muone hivi hivi tu
akili yake anaijua yeye na aliemuumba tu