Je waweza mpa mimba mwanamke bila kuiondoa bikra yake !

Je waweza mpa mimba mwanamke bila kuiondoa bikra yake !

:mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba:.............:bange::bange::bange:
 
ngoja na mimi nijaribu kama nitapata mimba alafu nitakuja nikujibu.
 
Wakuu habari zenu!
Kuna dent mmoja ambaye nimedate naye ila alinisumbua sana wakati wa ku do nasidhani kama nilifanikiwa kuvunja bikra yake kwa kuwa alikuwa akijibana mno.
Je inawezekana akashka mimba na huku bikra yake sijafanikiwa kuiondoa?

Wakuu naombeni mnifunze juu ya hili pia! Ni muda gani mimba huanza kujionyesha?

100% possible ukawa hujamtoa bikra yake na ukampa mimba. Ulizia tu bei za dipers na maziwa ya kopo km yake hayakua yanamtosha mtoto.
 
Hakuna uhusiano kati ya bikra na mimba maana mimba hutokana shahawa kugusana na yai la kike.Vilevile bikra haizuii shahawa kupita.Mpeleke mwwnzio hosp. akapime ujauzito kwa njia ya UPT.
 
Ungempeleka akapime. Huwezi kujua ana mimba au hana kwa JF!
 
Linapokuja suala la mimba wanaume wengi tunakuwa tunaogopa,hivi hatupendi kuitwa "Baba",au tunaogopa kulea ama nini?
Kaka anza kununua Pampers hizo.
 
ni vema ungeweka wazi ili tujue kama kadi ilitumbukia ndani (ulimwaga ndani?) o nje? na kwa ufahamu wangu mwanamke mwenye bikra anaweza kushika mimba. na namna ya kutambua ujauzito kama unahisi baada ya kupitisha siku za mzunguko kama wiki 1, waweza enda nunua kipimio cha mimba kinauzwa buku halafu kuna mistari itakuonyesha pale ikija mi2 ujue kitu tayari,ukija mmoja hakuna, ila kama ni mimba changa mistari itakuwa hafifu yakupasa kuwa makini.
USHAURI;
epuka ngono zembe, usiogope mimba ogopa VVU, halafu angalia usimwaribie dent wa watu maisha, anaweza kuwa msaada tosha kwa familia yake hasa kwa maisha aya tunayoenda. na akiwa chini ya miaka 18 ujue tunakuunganisha na wabakaji wengine.
 
Wakuu habari zenu!
Kuna dent mmoja ambaye nimedate naye ila alinisumbua sana wakati wa ku do nasidhani kama nilifanikiwa kuvunja bikra yake kwa kuwa alikuwa akijibana mno.
Je inawezekana akashka mimba na huku bikra yake sijafanikiwa kuiondoa?

Wakuu naombeni mnifunze juu ya hili pia! Ni muda gani mimba huanza kujionyesha?

Kumbuka kuongezeka matumizi ya ARV vizuri na ufutiliaji wa ushauri wa daktari, watoto wengi wameweza kufikisha umri wa kubalehe na hata kuvuka miaka 18wakiwa na afya nzuri zaidi na wengine wakiwa bado hawajaelezwa fika ttizo lao kwa undani na wengine wamefichwa tangu wa kiwa wadogo......so kuwa makini na kujifanya mtoaji bikra bila kinga, usiamini mahusiano yoyote mpaka wote muwe mmepima hata ukijaaminisha ni bikra kwa imani yako
 
Back
Top Bottom