PostGE2025 Je, Wazee wa Dar es Salaam wataweza kupunguza juhudi ya Gen-Z kuelekea D09?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
D

DeletedMember281674

Guest
Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia maandamano yaliyoandaliwa D9 kutofanyika???

Pili, kwa wale watakaoshiriki maaandamano hayo, ataagiza washughulikiwe ipasavyo kwa kupigwa risasi za miguu, kwa maana ameapa kulinda Amani ya nchi hii????
 
Sojaelewa kwanza hapo ni wazee wa CCM wale wanaohongwa buku 7 au ni wazee wa Dar es salaam
 
Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia maandamano yaliyoandaliwa D9 kutofanyika???

Pili, kwa wale watakaoshiriki maaandamano hayo, ataagiza washughulikiwe ipasavyo kwa kupigwa risasi za miguu, kwa maana ameapa kulinda Amani ya nchi hii????
Tungoje GenZ wafkie umri wa uzee watashiriki vikao pia
 
Kila Raisi lazima akutane nao 😂😂 wana hazina adimu?
 
Back
Top Bottom