D
DeletedMember281674
Guest
Kwa taarifa zilizopo hadharani, Prof. Assad hajawahi kumtaja wazi kwa jina waziri huyo katika nukuu inayosambazwa kuhusu waziri kijana anayemiliki magari matatu aina ya LC300, Range Rover na majengo ya apartments.
Kauli hiyo imekuwa ikizunguka zaidi kwenye mitandao ya kijamii na mijadala mbalimbali, lakini hakuna rekodi rasmi au ushahidi wa wazi unaomhusisha mtu maalum.
Kama Kuna mtu anamfahamu waziri huyo kijana Tunaomba amtaje kwa mafumbo na codes tuweze kumjua.