Huyu na AY walilipwa mabilioni na TigoNaibu wa michezo na picha tuliona
Bashite hakuwahi kuwa waziri kwa miaka 5.Bashite
Hilo swala limekaa kimaadili zaidi kuliko kijana, isitoshe mtuhumiwa ni dini yake.Kwani Assad amejuaje wakati aliachishwa kazi kitambo sana wakati Bashite sio waziri, halafu huyu Prof Assad hana tofauti na Mzee Mohamed, wote ni wadini mno,hawezi akamsema muislam, ni mzee mnafiki sana.
Amesema amekuwa waziri kwa miaka mitano. Siyo naibu waziri. Embu Professor Asad atoe ufafanuzi vizuri. Je bado yupo ktk baraza la mawaziri la sasa?Nilihisi Atakuwa Mwana FA.
Bashite ana Utajiri Mkubwa Zaidi.
Mwana ... ..Kwa taarifa zilizopo hadharani, Prof. Assad hajawahi kumtaja wazi kwa jina waziri huyo katika nukuu inayosambazwa kuhusu waziri kijana anayemiliki magari matatu aina ya LC300, Range Rover na majengo ya apartments.
Kauli hiyo imekuwa ikizunguka zaidi kwenye mitandao ya kijamii na mijadala mbalimbali, lakini hakuna rekodi rasmi au ushahidi wa wazi unaomhusisha mtu maalum.
Kama Kuna mtu anamfahamu waziri huyo kijana Tunaomba amtaje kwa mafumbo na codes tuweze kumjua.
Wamiliki basi kihalaliAchen wazawa wamiliki utajir mnataka wamilik waarabu na wazungu
Usisahau huyu ni mwanamuziki piaMwana FA japokua sio waziri ni naibu waziri
Hakuna pesa halali utajiri ni ushetani wamiliki pesa wote wanaenda kuzimuWamiliki basi kihalali
"Life style audit"