D
Bashite siyo Kijana:Bashite
Na mwana fa mkubwa kwa makondaBashite siyo Kijana:
Kwani Assad amejuaje wakati aliachishwa kazi kitambo sana wakati Bashite sio waziri, halafu huyu Prof Assad hana tofauti na Mzee Mohamed, wote ni wadini mno,hawezi akamsema muislam, ni mzee mnafiki sana.Nilihisi Atakuwa Mwana FA.
Bashite ana Utajiri Mkubwa Zaidi.
Very possible lakini itakuwa hajamzidi sana, same age group yaani wangekulia sehemu moja wangecheza pamoja.Na mwana fa mkubwa kwa makonda
MojariziKwa taarifa zilizopo hadharani, Prof. Assad hajawahi kumtaja wazi kwa jina waziri huyo katika nukuu inayosambazwa kuhusu waziri kijana anayemiliki magari matatu aina ya LC300, Range Rover na majengo ya apartments.
Kauli hiyo imekuwa ikizunguka zaidi kwenye mitandao ya kijamii na mijadala mbalimbali, lakini hakuna rekodi rasmi au ushahidi wa wazi unaomhusisha mtu maalum.
Kama Kuna mtu anamfahamu waziri huyo kijana Tunaomba amtaje kwa mafumbo na codes tuweze kumjua.
Hapq nakubishia, sio mdini!Kwani Assad amejuaje wakati aliachishwa kazi kitambo sana wakati Bashite sio waziri, halafu huyu Prof Assad hana tofauti na Mzee Mohamed, wote ni wadini mno,hawezi akamsema muislam, ni mzee mnafiki sana.
Mzee mzima, mtu mwenye familia na heshima kubwa kwenye jamii, kua na wivu wa kinafiki namna hiyo ni jambo la kushangaza na la fedheha sana, dah! 🐒Kwa taarifa zilizopo hadharani, Prof. Assad hajawahi kumtaja wazi kwa jina waziri huyo katika nukuu inayosambazwa kuhusu waziri kijana anayemiliki magari matatu aina ya LC300, Range Rover na majengo ya apartments.
Kauli hiyo imekuwa ikizunguka zaidi kwenye mitandao ya kijamii na mijadala mbalimbali, lakini hakuna rekodi rasmi au ushahidi wa wazi unaomhusisha mtu maalum.
Kama Kuna mtu anamfahamu waziri huyo kijana Tunaomba amtaje kwa mafumbo na codes tuweze kumjua.