Je, Waziri Kijana anayemiliki LC 300 TATU, Range Rover na Flat Apartments, ni Nani?

Mwana ... ..
Unaoa liniiii !!!! bado nipo nipo kwnza
 
Ni Makonda, toka akiwa RC Dar es Salaam alikuwa na fleet ya SUV kila brand, ile operesheni ya madawa ya kulevya aliwachukulia Wahindi na Waarabu magari kibao, huyu ni jambari aliyekubuhu, ushiriki wake kumzimisha Kato ndiyo unamfanya hadi leo wanamtandao hawamtupi wanakula naye.
 
Wizi, ufisadi, ujambazi, madawa ya kulevya, upigaji, uongozi mbovu....
It's an order of the day kwenye awamu hii na iliyopita...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…