Je, Waziri Kijana anayemiliki LC 300 TATU, Range Rover na Flat Apartments, ni Nani?

Unaongelea chawa na jambazi bashiti shit kabisa? Kanenepa makalio utadhani bwaaabwaaa!
 
Very possible lakini itakuwa hajamzidi sana, same age group yaani wangekulia sehemu moja wangecheza pamoja.
Huyo sio Bashite, kwani bashite hajafikisha hata miaka miwili toka awe waziri, nahisi ni vijana wa stadia waziri kijana na katibu mkuu wake, walimzunguka prof wa jalalani si ajabu tunaona mkandarasi akidai nusu ya hela aliyosaini na pale Lupaso yale matengenezo magumashi. Mwana mjanja mjanja sana.
 
Makonda ameanza kupiga mabilioni tokea akiwa RC wa Dar japo this shit inaweza kuwa ni yoyote kati yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…