Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimeona taarifa ya kutuambuliwa DC wa Longido kwa kauli kwamba uchaguzi wa 2020 ulifanywa na dola. Lakini pia Waziri Mchengelwa ametumia kauli hiyo hiyo wakati akizungumza na wananchi pamoja na wana CCM?
Je, waziri atatumbuliwa? Nini madhara na faida ya tumbua tumbua? Waliotumbuliwa mishahara yao inakoma?
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa