Je, Waziri Mchengerwa atatumbuliwa kama alivyotumbuliwa DC wa Longido?

Je, Waziri Mchengerwa atatumbuliwa kama alivyotumbuliwa DC wa Longido?

Nimeona taarifa ya kutuambuliwa DC wa Longido kwa kauli kwamba uchaguzi wa 2020 ulifanywa na dola. Lakini pia Waziri Mchengelwa ametumia kauli hiyo hiyo wakati akizungumza na wananchi pamoja na wana CCM?
Ungetutendea haki kwa kutuwekea alichosema waziri ambaye pia ni nanilii wa naniliu, hata aseme nini hawezi tumbuliwa!.
P
 
Nimeona taarifa ya kutuambuliwa DC wa Longido kwa kauli kwamba uchaguzi wa 2020 ulifanywa na dola. Lakini pia Waziri Mchengelwa ametumia kauli hiyo hiyo wakati akizungumza na wananchi pamoja na wana CCM?

Je, waziri atatumbuliwa? Nini madhara na faida ya tumbua tumbua? Waliotumbuliwa mishahara yao inakoma?

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
Huyo ni mkweZI

Hata kama mmetengua uteuzi wake lakini Marco Ng’umbi kasema ukweli mchungu.

Kauthibitishia Umma mambo matatu-;

1. Kathibitisha kuwa Maccm hatakubaliki,

2. Kathibitisha kuwa maccm huwa yanaiba Kura,

3. Kathibitisha kuwa Serikali huwa inateka watu na kuwatupa kwenye mapori.
Mdomo umepokonya siri ya Ubongo?
Wanaoeleza ukweli wanatangulizwa.Moto hauzimwi kwa petrol bwana
Hata kama mmetengua uteuzi wake lakini Marco Ng’umbi kasema ukweli mchungu.

Kauthibitishia Umma mambo matatu-;

1. Kathibitisha kuwa Maccm hatakubaliki,

2. Kathibitisha kuwa maccm huwa yanaiba Kura,

3. Kathibitisha kuwa Serikali huwa inateka watu na kuwatupa kwenye mapori.
 
Mkwe hawezi tumbuliwa, yuko wizara nyeti kuelekea 2025. Kazi lazima iendelee🤣🤣🤣
 
Sijui alichosema huyo waziri ila labda nikuulize, wewe ungekuwa mtumbuaji ungeweza? Mtoto wako akikununia? Kumbuka urais unaisha!
 
Kwa Mila za Kiafrika Mama mkwe anakuwa na Haya/Aibu kidogo kwa Mkwe 😆😁
 
Mleta mada tunaomba utuwekee video clip ya kauli ya Mchengerwa ili tumtumie Samia.
 
Back
Top Bottom