Je, Waziri Mchengerwa atatumbuliwa kama alivyotumbuliwa DC wa Longido?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kwa mfano..
Una mtumbuaje anae mpa raha mwanao. Yaani starehe ya mwanao uifukuze kazi??
 

Matamshi yake yalikuaje?
 
Amefanya kosa gani hadi atumbuliwe? Hivi unafahamu ya kuwa Mheshimiwa Mohamed Omar Mchengerwa ni Miongoni Mwa Mawaziri wachapakazi kuwahi kutokea hapa Nchini na walioitendea haki TAMISEMI? Hivi hujuwi kuwa Mheshimiwa Mchengerwa tunatamani kuona miaka michache ijayo akipanda zaidi ya hapo?

Inaonyesha wewe una chuki binafsi na Mheshimiwa waziri
 
Sema wewe sio tuna ... Unatamani wewe na Ephen au ?
 
Angekuwa ameshatumbuliwa kitambo, maana ile kauli ya Mchengelwa siyo ya jana.
 
Moshahara ya MADC,MADAS n.k sidhani kama huwa inakoma baada ya kutumbuliwa.
 
Huyo ni mkw.....

Hata kama mmetengua uteuzi wake lakini Marco Ng’umbi kasema ukweli mchungu.

Kauthibitishia Umma mambo matatu-;

1. Kathibitisha kuwa Maccm hatakubaliki,

2. Kathibitisha kuwa maccm huwa yanaiba Kura,

3. Kathibitisha kuwa Serikali huwa inateka watu na kuwatupa kwenye mapori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…