OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 457
- 773
Tukio linandelea Ikulu Kurugenzi ya Mawasiliano ikizungumzia mafanikio ya Rais kwenda Oman na mafanikio ya Royal Tour. Moja kati ya kitu ambacho Rais aliomba akiwa Oman ni Tanzania kuruhusiwa kusafirisha wanyama hai kwenda katika soko la Oman
Leo, Ikulu Waziri Ndaki amesema tusijikite sana kusafirisha wanyama hai badala yake tu-process na kusafirisha finished good ili kupata faida zaidi huku akisema wazi kuwa uwekezaji umeongezeka. Kimsingi tuna promote zaidi kuchakata nyama badala ya kupeleka wanyama hai, pia masharti ya kusafirisha wanyama hai ni magumu
Kimsingi nakubaliana na suala la kuchakata badala ya kusafirisha wanyama hai. Hata hivyo najiuliza kama Waziri Ndaki ameamua kupingana na Rais katika suala hili?
Signed OLS