Ataondolewa kwenye system upesi snHuyu waziri anajitambua sana.Hataki nchi iendelee kuuzwa kwa wa omani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni darasa la saba A Kinole s/m. Lakini kichwani yuko safiTunaomba CV yake na miles stones so far
Boss wake hataki kusikia hivyoHakika Waziri amenena
Tuache dharau jamaa ana mastersNi darasa la saba A Kinole s/m. Lakini kichwani yuko safi
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Ndaki alikua manager wangu mahala fulani huko nyuma ya miaka kidogo, ni mtu mwenye akili nyingi anayejua jamii inataka nini ili kujikwamua kwenye umasikini na utegemezi.Tukio linandelea Ikulu Kurugenzi ya Mawasiliano ikizungumzia mafanikio ya Rais kwenda Oman na mafanikio ya Royal Tour. Moja kati ya kitu ambacho Rais aliomba akiwa Oman ni Tanzania kuruhusiwa kusafirisha wanyama hai kwenda katika soko la Oman
Leo, Ikulu Waziri Ndaki amesema tusijikite sana kusafirisha wanyama hai badala yake tu-process na kusafirisha finished good ili kupata faida zaidi huku akisema wazi kuwa uwekezaji umeongezeka. Kimsingi tuna promote zaidi kuchakata nyama badala ya kupeleka wanyama hai, pia masharti ya kusafirisha wanyama hai ni magumu
Kimsingi nakubaliana na suala la kuchakata badala ya kusafirisha wanyama hai. Hata hivyo najiuliza kama Waziri Ndaki ameamua kupingana na Rais katika suala hili?
Signed OLS
We ni Chizi, tuulize tulio fanya nae kazi, unakurupuka tu kipumbavuNi darasa la saba A Kinole s/m. Lakini kichwani yuko safi
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app