Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Kujaza mimba mtu ni kwa wanaume wote ila kutukana matusi ni tabia ya mtu na inaichafua jamii husikaHatutakawia kusikia WCB walimtuma akamjaze Aunty mimba, maana hawakuliongelea pia hilo swala.
Nafkiri kila mtu ananafasi yake nje ya kazi kama raia wa kawaida na ana uhuru wa kutoa maoni kama watu wengine
Kwa kweli hawajatenda hakiinawauma sana kwani jamaa hatakama anafanana nao kwani inawausu wenyèwe nahapa duniani ni wawili wawili ila kafanya vibaya sana kumtukana mshikaji au kawakosea nini
KatukanaAmekanya nini..?
Hata mm naamini hivyoHawajamtuma ila ndiyo wanachokijadili wakiwa mazoezini
HahahahahahaMose Iyobo ni moja ya vijana bure kabisa hata kichwani hamnazo ashukuru Mungu kaokotwa asakate mauno WCB. Vinginevyo angekuwa kwao analima migomba ya ndizi
Kafanya vibayaNdio ametumwa na Diamond
Unajuaje kama na hili siyo la maana ?akitumwa asipotumwa sisi itatusaidia nini, jadili mambo ya maana
Habari wana-JF
Hivi karibuni tulisikia juu ya Iyobo kumtukana Hamorapa na wengi wakalaani sana kitendo hiki. Lakini cha kushangaza uongozi wa WCB hawajazungumzia hili wala Iyobo kuomba msamaha,sasa najiuliza je WCB ndiyo walimtuma Iyobo atukane ? Na je hiyo ndiyo picha halisi ya WCB ya kuwadharau na kuwatukana wengine? Au kimewauma kuona kuna mtu anafanana na member wao ?
Hivi Hamorapa ndio Harmonise?? Manake sikuwa Dar es Salaam kwa wiki 7 hv nilikuwa porini .......Habari wana-JF
Hivi karibuni tulisikia juu ya Iyobo kumtukana Hamorapa na wengi wakalaani sana kitendo hiki. Lakini cha kushangaza uongozi wa WCB hawajazungumzia hili wala Iyobo kuomba msamaha,sasa najiuliza je WCB ndiyo walimtuma Iyobo atukane ? Na je hiyo ndiyo picha halisi ya WCB ya kuwadharau na kuwatukana wengine? Au kimewauma kuona kuna mtu anafanana na member wao ?
Hahahahaa.... Saf jibu zurHatutakawia kusikia WCB walimtuma akamjaze Aunty mimba, maana hawakuliongelea pia hilo swala.
Nafkiri kila mtu ananafasi yake nje ya kazi kama raia wa kawaida na ana uhuru wa kutoa maoni kama watu wengine