Je, WCB ndiyo walimtuma Mose Iyobo ?

Je, WCB ndiyo walimtuma Mose Iyobo ?

Jimmy George

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
1,733
Reaction score
1,648
Habari wana-JF

Hivi karibuni tulisikia juu ya Iyobo kumtukana Hamorapa na wengi wakalaani sana kitendo hiki. Lakini cha kushangaza uongozi wa WCB hawajazungumzia hili wala Iyobo kuomba msamaha,sasa najiuliza je WCB ndiyo walimtuma Iyobo atukane ? Na je hiyo ndiyo picha halisi ya WCB ya kuwadharau na kuwatukana wengine? Au kimewauma kuona kuna mtu anafanana na member wao ?
 
Hatutakawia kusikia WCB walimtuma akamjaze Aunty mimba, maana hawakuliongelea pia hilo swala.
Nafkiri kila mtu ananafasi yake nje ya kazi kama raia wa kawaida na ana uhuru wa kutoa maoni kama watu wengine
 
inawauma sana kwani jamaa hatakama anafanana nao kwani inawausu wenyèwe nahapa duniani ni wawili wawili ila kafanya vibaya sana kumtukana mshikaji au kawakosea nini
 
Mose Iyobo ni moja ya vijana bure kabisa hata kichwani hamnazo ashukuru Mungu kaokotwa asakate mauno WCB. Vinginevyo angekuwa kwao analima migomba ya ndizi
 
Hatutakawia kusikia WCB walimtuma akamjaze Aunty mimba, maana hawakuliongelea pia hilo swala.
Nafkiri kila mtu ananafasi yake nje ya kazi kama raia wa kawaida na ana uhuru wa kutoa maoni kama watu wengine
Kujaza mimba mtu ni kwa wanaume wote ila kutukana matusi ni tabia ya mtu na inaichafua jamii husika
 
inawauma sana kwani jamaa hatakama anafanana nao kwani inawausu wenyèwe nahapa duniani ni wawili wawili ila kafanya vibaya sana kumtukana mshikaji au kawakosea nini
Kwa kweli hawajatenda haki
 
Habari wana-JF

Hivi karibuni tulisikia juu ya Iyobo kumtukana Hamorapa na wengi wakalaani sana kitendo hiki. Lakini cha kushangaza uongozi wa WCB hawajazungumzia hili wala Iyobo kuomba msamaha,sasa najiuliza je WCB ndiyo walimtuma Iyobo atukane ? Na je hiyo ndiyo picha halisi ya WCB ya kuwadharau na kuwatukana wengine? Au kimewauma kuona kuna mtu anafanana na member wao ?
fd43db81d070ba67f23cd4221ade07f3.jpg

Lazima wawe na jeuri si Wanavuna ZA MADAWA
 
Habari wana-JF

Hivi karibuni tulisikia juu ya Iyobo kumtukana Hamorapa na wengi wakalaani sana kitendo hiki. Lakini cha kushangaza uongozi wa WCB hawajazungumzia hili wala Iyobo kuomba msamaha,sasa najiuliza je WCB ndiyo walimtuma Iyobo atukane ? Na je hiyo ndiyo picha halisi ya WCB ya kuwadharau na kuwatukana wengine? Au kimewauma kuona kuna mtu anafanana na member wao ?
Hivi Hamorapa ndio Harmonise?? Manake sikuwa Dar es Salaam kwa wiki 7 hv nilikuwa porini .......
 
Hatutakawia kusikia WCB walimtuma akamjaze Aunty mimba, maana hawakuliongelea pia hilo swala.
Nafkiri kila mtu ananafasi yake nje ya kazi kama raia wa kawaida na ana uhuru wa kutoa maoni kama watu wengine
Hahahahaa.... Saf jibu zur
 
Back
Top Bottom