Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Habari wana-JF
Hivi karibuni tulisikia juu ya Iyobo kumtukana Hamorapa na wengi wakalaani sana kitendo hiki. Lakini cha kushangaza uongozi wa WCB hawajazungumzia hili wala Iyobo kuomba msamaha,sasa najiuliza je WCB ndiyo walimtuma Iyobo atukane ? Na je hiyo ndiyo picha halisi ya WCB ya kuwadharau na kuwatukana wengine? Au kimewauma kuona kuna mtu anafanana na member wao ?