Je, WCB ndiyo walimtuma Mose Iyobo ?

Je, WCB ndiyo walimtuma Mose Iyobo ?

fd43db81d070ba67f23cd4221ade07f3.jpg

Lazima wawe na jeuri si Wanavuna ZA MADAWA
Wanatumia fedha kuwatusi wenzao hahahahaha
 
Hatutakawia kusikia WCB walimtuma akamjaze Aunty mimba, maana hawakuliongelea pia hilo swala.
Nafkiri kila mtu ananafasi yake nje ya kazi kama raia wa kawaida na ana uhuru wa kutoa maoni kama watu wengine
Nafikiri umemaliza kila kitu.
 
halafu nimesikia na yeye yupo kwenye kudi lile la watuhumiwa wa madawa ya kulevya doimondi nimeona kwenye instaglam
 
Ujue unahoja za kishamba ile label mambo ya MTU binafsi ni hayaihusu mbona huja hoji mimba
Ukitukana matusi lazima lawama tupeleke kwa wazazi kwa kushindwa kumlea au kwann wakuache unatukana matusi kwa watu
 
Back
Top Bottom