Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
- Thread starter
- #21
Wanatumia fedha kuwatusi wenzao hahahahaha![]()
Lazima wawe na jeuri si Wanavuna ZA MADAWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatumia fedha kuwatusi wenzao hahahahaha![]()
Lazima wawe na jeuri si Wanavuna ZA MADAWA
SijuiKwani wameacha kuuza ngano?
Hamorapa ni kijana mwenye jina kubwa mjini kuliko kazi zake za muzikiHivi Hamorapa ndio Harmonise?? Manake sikuwa Dar es Salaam kwa wiki 7 hv nilikuwa porini .......
Okee asante kwa kunijuza ....Hamorapa ni kijana mwenye jina kubwa mjini kuliko kazi zake za muziki
Nafikiri umemaliza kila kitu.Hatutakawia kusikia WCB walimtuma akamjaze Aunty mimba, maana hawakuliongelea pia hilo swala.
Nafkiri kila mtu ananafasi yake nje ya kazi kama raia wa kawaida na ana uhuru wa kutoa maoni kama watu wengine
Ngoja nitafuteMkuu leta hoja nyingine
Ukitukana matusi lazima lawama tupeleke kwa wazazi kwa kushindwa kumlea au kwann wakuache unatukana matusi kwa watuUjue unahoja za kishamba ile label mambo ya MTU binafsi ni hayaihusu mbona huja hoji mimba