Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Ni takribani sasa masaa 16 views za wimbo wa Ali kiba zimesimama na hazibadiliki , zinasoma laki saba na ushehe kwa takribani saa 16.

Kiufupi zimeganda na si kwamba haiangaliwi no inaangaliwa lakini count haiongezeki.

Sote tunajua Bifu kati ya Ali kiba na WCB, sasa je inawezekana wcb ndio inayomhujumu Ali kiba you tube.?

Basi hata kama sio WCB moja kwa moja inawezekana hata shabiki wa WCB akafanya hujuma hiyo, kwa maana ali kiba ametumia pesa mingi kutengeza bolingo yake ya congo lakini ndo hivo hujuma.

Asanteni nawasilisha
 
Hiyo ndio fanbase ya Kiba hakuna hujuma, viewers waongezeke watoke wapi sasa? Kuna wajinga wa technology wanashinda youtube eti waongeze views awajui hakuna wanachoongeza.

Wcb kumsaidia wangetoa nao wimbo labda ingempa kick kidogo ila kwa kumpotezea ata angekaa wiki nzima ofisi za cloudsmedia bado awezi ongeza washabiki.
 
Diamond mimi binafsi nilikua simkubali ila imefika kipindi imenibidi nimkubali. Maana anabidii ya kazi kiasi kwamba ningeendelea kumchukia ningepata vidonda vya tumbo bure.

Piga kazi Diamond Platinumz.
 
Hiyo lawama apewe Ruge na mashabiki wa Kiba, haiwezekani mbwembwe zote hizi za kupamba wimbo na kutoa povu msanii akiksolewa halaf hawaangalii wimbo kwa You tube. Put your money where your mouth is.
Pia kitendo cha kina Diaomond kuto leta kituko chochote ku block wimbo nadhan kime fanya mzuka usiwe mkubwa may be. Nadhani WCB walijifunza kwenye ile ishu ya kipindi cha seduce me.

Kwa wale tusio na timu tunaendelea kuangalia tuu huku tunakula diamond karanga tunakunywa na mofaya.
 
Tofautisha tu hata namba za subscribers basi halafu ndio uanze kutafuta mchawi.

Alikiba ana subscribers 258, 458
IMG_20180513_104114.jpg

Diamond ana subscribers 1,183,786
IMG_20180513_104028.jpg
 
Hiyo lawama apewe Ruge na mashabiki wa Kiba, haiwezekani mbwembwe zote hizi za kupamba wimbo na kutoa povu msanii akiksolewa halaf hawaangalii wimbo kwa You tube. Put your money where your mouth is.
Pia kitendo cha kina Diaomond kuto leta kituko chochote ku block wimbo nadhan kime fanya mzuka usiwe mkubwa may be. Nadhani WCB walijifunza kwenye ile ishu ya kipindi cha seduce me.

Kwa wale tusio na timu tunaendelea kuangalia tuu huku tunakula diamond karanga tunakunywa na mofaya.
Great Hahahaha
 
Ni takribani sasa masaa 16 views za wimbo wa Ali kiba zimesimama na hazibadiliki , zinasoma laki saba na ushehe kwa takribani saa 16. Kiufupi zimeganda na si kwamba haiangaliwi no inaangaliwa lakini count haiongezeki.
Sote tunajua Bifu kati ya Ali kiba na WCB, sasa je inawezekana wcb ndio inayomhujumu Ali kiba you tube.???
Basi hata kama c wcb moja kwa moja inawezekana hata shabikibwa wcb akafanya hujuma hiyo, kwa maana ali kiba ametumia pesa mingi kutengeza bolingo yake ya congo lakini ndo hivo hujuma.
Asanteni nawasilisha
Vyuma vimekaza vijana awana pesa ya bando kama unavyojua mashabiki wa ally kiba ni watu wasioeleweka
 
Back
Top Bottom