ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ni takribani sasa masaa 16 views za wimbo wa Ali kiba zimesimama na hazibadiliki , zinasoma laki saba na ushehe kwa takribani saa 16.
Kiufupi zimeganda na si kwamba haiangaliwi no inaangaliwa lakini count haiongezeki.
Sote tunajua Bifu kati ya Ali kiba na WCB, sasa je inawezekana wcb ndio inayomhujumu Ali kiba you tube.?
Basi hata kama sio WCB moja kwa moja inawezekana hata shabiki wa WCB akafanya hujuma hiyo, kwa maana ali kiba ametumia pesa mingi kutengeza bolingo yake ya congo lakini ndo hivo hujuma.
Asanteni nawasilisha