ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Haiwez kuwa sababu kwani kwenye seduce me Ali alifika Viewers M1 ndani ya saa 24. Tena akiwa na less subscribersTofautisha tu hata namba za subscribers basi halafu ndio uanze kutafuta mchawi.
Alikiba ana subscribers 258, 458
View attachment 776036
Diamond ana subscribers 1,183,786
View attachment 776037
Great HahahahaHiyo lawama apewe Ruge na mashabiki wa Kiba, haiwezekani mbwembwe zote hizi za kupamba wimbo na kutoa povu msanii akiksolewa halaf hawaangalii wimbo kwa You tube. Put your money where your mouth is.
Pia kitendo cha kina Diaomond kuto leta kituko chochote ku block wimbo nadhan kime fanya mzuka usiwe mkubwa may be. Nadhani WCB walijifunza kwenye ile ishu ya kipindi cha seduce me.
Kwa wale tusio na timu tunaendelea kuangalia tuu huku tunakula diamond karanga tunakunywa na mofaya.
Alikiba bhana...
Kwa hiyo unataka twende kuhakikisha ili views ziongezeke!
Sema nini nimekubali hii strategy...
Vyuma vimekaza vijana awana pesa ya bando kama unavyojua mashabiki wa ally kiba ni watu wasioelewekaNi takribani sasa masaa 16 views za wimbo wa Ali kiba zimesimama na hazibadiliki , zinasoma laki saba na ushehe kwa takribani saa 16. Kiufupi zimeganda na si kwamba haiangaliwi no inaangaliwa lakini count haiongezeki.
Sote tunajua Bifu kati ya Ali kiba na WCB, sasa je inawezekana wcb ndio inayomhujumu Ali kiba you tube.???
Basi hata kama c wcb moja kwa moja inawezekana hata shabikibwa wcb akafanya hujuma hiyo, kwa maana ali kiba ametumia pesa mingi kutengeza bolingo yake ya congo lakini ndo hivo hujuma.
Asanteni nawasilisha