Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Kabisa yaan kila kona pagumu daah pole yao
Tupendane penzi liwe sawasawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo lingine liende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo

Acha kabisa. Nyimbo tamu sana hii
Mpaka natamani niitafunie na chai
 
31198375_199980300612660_6447836154384351232_n.jpg

Tupendane penzi liwe sawasawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo lingine liende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo

Acha kabisa. Nyimbo tamu sana hii
Mpaka natamani niitafunie na chai
 
Hakuna wimbo mzuri kama huu nakuambia.
Sema mkileta za kushindanisha na mafanikio ya watu, ndo mtaona haufai. Lakini kwa mtu anaye feel muziki kama mimi, hakika hapa @Alikiba ameutendea haki huu mdundo na kila wakati maurudia na nyimbo za aina hii huishi miaka mingi na husikilizwa na watu wa lika zote
Kweli wazee mpo wengi humu jukwaani. Zilipendwa zinarudi sasa
 
Wewe jamaa huwa una michango nzuri sana kwenye nyuzi kadhaa ila linapokuja suala la ushabiki wa Diamond na Alikiba du! Yaani unajitoa ufahamu kabisa, mahaba yaliyopitiliza kwa Mondi na chuki za dhahiri kwa Kiba. Yaani huwa nashangaa kabisa!
endelea kushangaa maisha ni kushangaana
 
Kitu kimoja ni dhahiri kwa wafuasi wa Diamond: Alikiba kupewa airtime na media inawauma mno! Hivi mnadhani hao Clouds wamempa hiyo promo bure? Hiyo ni biashara, management ya Kiba wamelipia, kiasi kwamba msanii yeyote akilipa naye anafanyiwa hivyo. Lakini pia hakuna msanii aliyekuwa anapewa promo na mawingu kama Mondi! Mbona wakati huo hakukua na lialia kama hii?
Kaokoe jahazi huko...sisi hatuna shida ya promo radio yetu,tv yetu,wasanii wetu,spika zetu,mashabiki wetu...kaongeze views fake youtube huko
 
kidoogo hii kiki ya kuganda kwa views inaweza kumsogeza mbele kdg bwana King....ila nimeamini zaidi kam hii ngoma ni boko baada ya da mange kukiri kwamba hii ngoma imeflop japo with lot of justifications...lkn nae nahisi alikuwa ana duku duku kwamba mara hii King kawaangusha but kaamua alitoe duku duku kwa njia ya hekma na busara kdg.
 
kidoogo hii kiki ya kuganda kwa views inaweza kumsogeza mbele kdg bwana King....ila nimeamini zaidi kam hii ngoma ni boko baada ya da mange kukiri kwamba hii ngoma imeflop japo with lot of justifications...lkn nae nahisi alikuwa ana duku duku kwamba mara hii King kawaangusha but kaamua alitoe duku duku kwa njia ya hekma na busara kdg.
kachemka kweki bonge la boko,kuanzia jina hadi mistari uliskia wapi wimbo unaitwa mvumo wa radi teh teh teh
 
Wimbo mbovu afadhali ya kimasomaso, halafu anatafuta watu lawama.
 
Ila hapa kuna tatizo kubwa....haiwezekan leo saa 8 mchana views ziwe 780 na kitu then siku hiyohiyo juon ya saa 12 views zishuke hadi 750 na kitu???? Hapa kuna tatizo walah........View attachment 776358
Maana yake Alikuwa ana cheat either ni timu yake au mashabiki wake hivyo you tube wameondoa fake views zote na kitakacho fata kama Alikiba ata andikiwa barua ya onyo akiendelea atafutiwa account yake kabisa
 
Tatizo Kiba anaenda kwa huruma ya Mashabiki. Mshikaji mpk abebwe bebwe ndio asonge mbele.

Angekuwa anatoa nyimbo kila siku kulikuwa hakuna haja ya kununua sijui kupewa promo siki nzima ili ijulikane jamaa karudi.

Anakaa mwaka hatoi wimbo akija kutoa anakuwa na kazi ngumu ya kuifanya iwe hit song.

Wimbo huu tukubali tu sio wimbo unaoendana na kila mziki wa kwetu bongo unataka. Yawezekana ikawa nzuri lakni sio type ya watu wengi. Ajifunze kuwa sokoni angalau mara kibao.

Views zimekwama anatafutwa mchawi,lkn ni kweli kuwa hamna wa ku view maana wengi hawajavutiwa kuanzia audio. Seduse me ilikuwa kali kulikuwa hakuna haja ya promo kali kwan majority waliipenda

Mwambieni asipende huruma ya mashabiki. Apige kazi kizuri kinajiuza.
 
Back
Top Bottom