Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Nilidhani huu uzi unazungumzia habari za Views wa Kiba!! Sasa Mashabiki wa Diamond kwanini walie lie kuhusu Views wa Kiba?!

Kwa kumbukumbu zangu, ni mashabiki wa Kiba ndio walikuwa hodari kusema Diamond ananunua Views lakini hatimae leo amefahamika ni nani anafanya janja janja kwenye views!
Siku za mwizi 40
 
Kitu kimoja ni dhahiri kwa wafuasi wa Diamond: Alikiba kupewa airtime na media inawauma mno! Hivi mnadhani hao Clouds wamempa hiyo promo bure? Hiyo ni biashara, management ya Kiba wamelipia, kiasi kwamba msanii yeyote akilipa naye anafanyiwa hivyo. Lakini pia hakuna msanii aliyekuwa anapewa promo na mawingu kama Mondi! Mbona wakati huo hakukua na lialia kama hii?
hivi unafahamu gharama ya kununua Airtime kwenye media espicially televisheni? acha kuongea ushuzi wewe Kiba hana uwezo wa kununua huo muda tena siku nzima usifanye mchezo
 
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.

Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.

Urefu wa kiwanja ni mita 37
Upana wa kiwanja ni mita 23

Bei 19M.

PM kwa serious buyers
Karibuni

View attachment 776312View attachment 776314
[emoji1] [emoji1] [emoji1] msafara wa Pundamalia na Punda mzigo hawakosi
 
alafu sasa wanachoharibu ni kwamba wameenda kusema kwa youtube sipati picha youtube wawajibu kuwa wamewakaushia tu kwa kupunguza views maana wamedetect robots kama laki na kosa lake ni kuban account au kufuta video. as you know youtube wanawatreat watumiaji wote kama familia moja hakuna mkubwa wala mdogo pale.
 
Mbona kwa baraka da prince amuku ongelea ila kwa ali kiba nd mna komaa nalo sana......bora yeye za baraka zilkua zina shushwa kabsa una kuta saivi ina 70k badae una kuta 45k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru kutambua watu sahihi wa kulinganisha na Kiba.
 
Huo wimbo usipofunguliwa mada kama hivi unakufa kifo cha mende soon.
Hakuna wimbo mzuri kama huu nakuambia.
Sema mkileta za kushindanisha na mafanikio ya watu, ndo mtaona haufai. Lakini kwa mtu anaye feel muziki kama mimi, hakika hapa @Alikiba ameutendea haki huu mdundo na kila wakati maurudia na nyimbo za aina hii huishi miaka mingi na husikilizwa na watu wa lika zote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] acha hizo,wimbo ukibuma umebuma tu kingine wcb hawajatoa kiki yoyote au wimbo ili team kiba wapate kisingizio cha kuchangiwa na wcb
Tunaomba wasafi waokoe jahazi.
 
Back
Top Bottom