agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Siku za mwizi 40Nilidhani huu uzi unazungumzia habari za Views wa Kiba!! Sasa Mashabiki wa Diamond kwanini walie lie kuhusu Views wa Kiba?!
Kwa kumbukumbu zangu, ni mashabiki wa Kiba ndio walikuwa hodari kusema Diamond ananunua Views lakini hatimae leo amefahamika ni nani anafanya janja janja kwenye views!