Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Kumbe ukiishia katikati ya video YouTube view haihesabiwi ni sawa na kutumia kondomu au kutomfikisha demu kileleni atahesabu hujamla.
 
Kumbe ukiishia katikati ya video YouTube view haihesabiwi ni sawa na kutumia kondomu au kutomfikisha demu kileleni atahesabu hujamla.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],siyo hvyo tu,,ni kama ticha amepanga akufumue stiki 6 halafu anafika ya 5 unashika tako,,hapo anahesabu amefuta,,,na ndo walichofanya youtube..
 
kwa namna moja au nyingine ww ni shabiki wa upande ule kwahiyo umeandika nyuzi hii ili uone muitikio wa unachokiita hujuma,
 
Kuna umuhimu wa kujiuliza swali sahii je uhuo wimbo unastahili hizo views ? wimbo wa kwangaru japokuwa haupigwi mawingu studio ila kirasehemu unasikika,please tuache ushabiki tumwambie kaka afanye kazi
 
Mimi nilianza kuona huyu Ali Kiba anashida baada ya kutumia mamilioni kurusha ndoa yake kwenye television. Huu ni ujinga.
 
Kuna umuhimu wa kujiuliza swali sahii je uhuo wimbo unastahili hizo views ? wimbo wa kwangaru japokuwa haupigwi mawingu studio ila kirasehemu unasikika,please tuache ushabiki tumwambie kaka afanye kazi
Mashabiki wa wcb ni wengi kuliko mashabiki wa kiba. Kiba ni mtu mmoja ila wcb ni kundi.

Pia ukiangalia subscribers wa kiba, utafahamu kwanini hana views wengi kwa muda mchache.

Kwa uzuri na ubora wa nyimbo kwa maoni yangu, kiba ameweza kubadilika na kufanya kazi nzuri ya tofauti. Nimeuelewa sana [HASHTAG]#mvumowaradi[/HASHTAG].

Alafu kingine ni kuwa kiba anajiamini. Anafanya kile anachoamini kinafaa. Haogopi mapokeo ya watanzania. Ndio maana hata video zake huwezi ukakuta nyuchi japo anajua tunapenda mambo hayo. Kiufupi ni kuwa Ali kiba anajielewa
 
Acha kudanganya kama haogopi mapokeo ya watanzania kwanini alalamike kuhusu views?
 
Mtu asiyeogopa mapokeo anashinda simu nzima kwenye media kupromote kazi yake?
 
Mic u cousin
 
We unahisi wcb wanauwezo wa kufanya youtube count zisihesabike?
Hehehe! watu mna matatizo kichwani duh. Kama hazipandi sababu ni moja tu, hakuna mtu anaangalia basi.
 
Akili za Mange bhana, eti hata Nicky Manaj kaflop. Kweli? Katoa ngoma 6 days ago, leo imegonga views milioni 26, anataka kumfananisha na huyu Bwana harusi?
Mange hana akili.. Anajaribu kutetea kibusara kwa points hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…