mkuu zionee huruma mbavu zetu sidhan kama harmonise anajua hata format ya ip addressYeah ni kweli na kwa taarifa yenu Harmonize ana Masters Degree ya IT sasa huyu jamaa ndio master wa figisu zote zinazohusu views za Kiba.
Naona umewahi sitiNapita nawahi Lumumba kuchukua changu
Roboti wamegoma
Mwaka huu kazi ipo....Hahahaahaa....
tunampa promo sana asee lakini wapi mambo yanazidi kuharibikaali anazidi kuumbuka tu maroboti yake yanauwawa uko youtubeπππ
tunampa promo sana asee lakini wapi mambo yanazidi kuharibika
Hahaaha....[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hatari tupu aisee naona baraka atakua anafuraha hadi kawa mweupe
Hivi sasa ni HALALI kusema, zaidi ya saa 50 zimepita na bado "1M Views hazijafika!"Kibakuli kaona atoe na machozi watu wakaview masikini
Alisema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3M, hivi zilifika?
Haya akatoa wimbo wake lkn hata view 1M hazijafika ndan ya 24hrs.
Kweli mbeleko ya wcb kaikosa this time