Alikiba ni msanii wa hovyo sana views za you tube haziji bila kufanya maandalizi yanayoleta views....Alikiba hana uwezo wa kupata views nyingi bila kupata back up ya Diamond na ndio walichotaka wao na washirika wao.....Hata ile ya kumfananisha Diamond na mwanamke ilikuwa ina lengo la kupata attention ya Diamond...
Hakika Safari hii Diamond amepindua meza kibabe,,...yani kala kimya ana muacha apambane na hali yake najua inafanyika kila njia ili kupata attention ya Diamond....
Hao viewers ndio uwezo halisi wa Kiba kabisa ........