Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

hahahaha nasikia mendez kakata waya unao unganisha chanel ya Kiba YOUTUBE
Wewe jamaa huwa una michango nzuri sana kwenye nyuzi kadhaa ila linapokuja suala la ushabiki wa Diamond na Alikiba du! Yaani unajitoa ufahamu kabisa, mahaba yaliyopitiliza kwa Mondi na chuki za dhahiri kwa Kiba. Yaani huwa nashangaa kabisa!
 
Hiyo lawama apewe Ruge na mashabiki wa Kiba, haiwezekani mbwembwe zote hizi za kupamba wimbo na kutoa povu msanii akiksolewa halaf hawaangalii wimbo kwa You tube. Put your money where your mouth is.
Pia kitendo cha kina Diaomond kuto leta kituko chochote ku block wimbo nadhan kime fanya mzuka usiwe mkubwa may be. Nadhani WCB walijifunza kwenye ile ishu ya kipindi cha seduce me.

Kwa wale tusio na timu tunaendelea kuangalia tuu huku tunakula diamond karanga tunakunywa na mofaya.
Kuna ukweli hapo
 
Kweli wewe ni teamless
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaaaahhh kumbe viewers wanauma hadi mmeripot YouTube [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....

Mondi plz endelea kupiga kimyaa wanyooke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hvi lynne ulisafiri?
 
Wimbo aliotoa Ali Kiba hauna ladha. Wengi walienda kuangalia ameimba nini. Nimeusikiliza kwa sekunde tano na sikupata mshawasha wa kuendelea kupoteza MB zangu kuusikiliza.
Ushauri tu, ni bora Ali Kiba atafute kazi nyingine ya kufanya astaafu mziki kwa heshima. Alishafika peak sasa ana drop kwa kasi ya mwanga.
Mie mwenyewe niliangalia sekunde kadhaa tu nikaona siuelewi nikaupotezea[emoji1]
 
Alikiba ni msanii wa hovyo sana views za you tube haziji bila kufanya maandalizi yanayoleta views....Alikiba hana uwezo wa kupata views nyingi bila kupata back up ya Diamond na ndio walichotaka wao na washirika wao.....Hata ile ya kumfananisha Diamond na mwanamke ilikuwa ina lengo la kupata attention ya Diamond...

Hakika Safari hii Diamond amepindua meza kibabe,,...yani kala kimya ana muacha apambane na hali yake najua inafanyika kila njia ili kupata attention ya Diamond....
Hao viewers ndio uwezo halisi wa Kiba kabisa ........
Kweli diamond kapiga kimya kama hayupo vile [emoji23]
 
Kwanza inabidi ajitahidi kukitangaza kinywani chake kwenye media kupitia matangazo kama wafanyavyo voda na airtel asitegemee wapuuzi wa Insta wanaoandika ujinga + vijembe ili kinywaji kiuzike. uteam wao wakiufanya vibaya utapekelekea bidhaa kutouzika Za msanii flani zisitoke.
 
Back
Top Bottom