Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Yeah ni kweli na kwa taarifa yenu Harmonize ana Masters Degree ya IT sasa huyu jamaa ndio master wa figisu zote zinazohusu views za Kiba.
mkuu zionee huruma mbavu zetu sidhan kama harmonise anajua hata format ya ip address
 
zinapanda na kushuka. Alikiba anatakiwa aache uswahili

upload_2018-5-13_17-30-28.png
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida views kwenye wimbo wa Ali Kiba "Mvumo wa Radi" imeporomoka hadi kufikia 737K,itakumbukwa kwamba masaa kadhaa yaliyopita wimbo huo mpya unaotamba kwenye media mbalimbali nchini ulikuwa na views 781K...ambapo idadi hiyo ilidumu kwa muda mrefu jambo ambalo halkkuonekana kuwa la kawaida hadi lilipotiwa na kutafutiwa ufumbuzi.
Hali kama hii iliwahi kumkuta msanii Baraka da Prince mapema mwaka huu baada ya kutangaza kujitoa Rock Star.

Je kuna tatizo kwenye akaunti ya Ali Kiba?
Au kuna wahuni wanajaribu kulipiza kisasi?
IMG_20180513_172411.jpg
 
Kiba ile nyimbo tuseme ukweli tu, amekurupuka. Jamaa uwezo anao ila anafanya mambo kimazoea akitegemea media, alitakiwa ajenge fanbase kubwa na pia ajiandae kila mara akitoa nyimbo.


Mafanikio yanalala kwenye ubunifu si mazoea, kusema kweli toka atoe nyimbo ya Aje ngoma zilizofuata anaharibu. Anapanick.

Akataze kushindwanishwa na Diamond, si wa kiwango chake. Ndiyo maana jamaa kule akiachiwa jiwe likivuma unakuta anaingizwa upepo na presha juu, mashabiki na wapambe wanamchochea.
Unajua ushindani na aliyekupita, mwishowe unaharibu kila kitu.

Aepuke kushindanishwa na atulize kichwa chake, naamini jamaa uwezo bado anao. Asipelekeshwe na mashabiki.

Kubuma kwa viewers wasimtafute mchawi, kajiloga mwenyewe
 
Fake views zimeondolewa ambazo zimetengenezwa na mtaalamu wa computer pale clouds fm kwa ushirikiano na watu wa south africa


Baada ya kubainika hilo YouTube wamepitish panga la kuondoa views za robot
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hatari tupu aisee naona baraka atakua anafuraha hadi kawa mweupe
Hahaaha....

Ila Rockstar waluchomfanyia Baraka aisee....

Mungu anawaona.

Sasa sijui Baraka kakamata kabisa kitufe cha pause view zi stuck...
 
Kibakuli kaona atoe na machozi watu wakaview masikini
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png


Alisema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3M, hivi zilifika?

Haya akatoa wimbo wake lkn hata view 1M hazijafika ndan ya 24hrs.

Kweli mbeleko ya wcb kaikosa this time
Hivi sasa ni HALALI kusema, zaidi ya saa 50 zimepita na bado "1M Views hazijafika!"

Yaani Mvumo wa Radi umepiga rivasi kama risasi iliyomuua Akwelina!!
 
Back
Top Bottom