hakuna uchawi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 661
- 677
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibakuli day ndio chanzo cha views kutofika milioniHivi sasa ni HALALI kusema, zaidi ya saa 50 zimepita na bado "1M Views hazijafika!"
Yaani Mvumo wa Radi umepiga rivasi kama risasi iliyomuua Akwelina!!
Hiyo inaitwa "hatutoi kiki" manake hata anapofanya jambo jema, inakuwa nongwa!Kweli diamond kapiga kimya kama hayupo vile [emoji23]
Fake views zimeondolewa ambazo zimetengenezwa na mtaalamu wa computer pale clouds fm kwa ushirikiano na watu wa south africa
Baada ya kubainika hilo YouTube wamepitish panga la kuondoa views za robot
Nasikia siku mzima alishinda studio za Clouds... labda anatakiwa kurudi tena kuandaa Kiba Week![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibakuli day ndio chanzo cha views kutofika milioni
Timu imekamilika... huku Mkata Umeme, kule Mmeza Views!!Yeah ni kweli na kwa taarifa yenu Harmonize ana Masters Degree ya IT sasa huyu jamaa ndio master wa figisu zote zinazohusu views za Kiba.
Sasa alishinda siku nzima milion hajafika. Ikija kibakuli week ndio atapata views 100K.Nasikia siku mzima alishinda studio za Clouds... labda anatakiwa kurudi tena kuandaa Kiba Week!
Hahaaha....
Ila Rockstar waluchomfanyia Baraka aisee....
Mungu anawaona.
Sasa sijui Baraka kakamata kabisa kitufe cha pause view zi stuck...
Kwendraaaaaa hukoFans base ni ndogo hiyo ndio sababu.. Afu watu wengi washajua kuwa baadhi ya media zinachochea hiko kitu.. Afu reason nyingne ni mondi kukausha kimya...
Nafikiri you tube hawahesabu views zinazorudiarudia toka device moja.Sasa alishinda siku nzima milion hajafika. Ikija kibakuli week ndio atapata views 100K.
Saiv wanalalamika views zinapungua [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi najua ndio iko hivyo. Sasa hawa team kibakuli wanarudia rudia kuangalia wakidhan zitaomgezeka.Nafikiri you tube hawahesabu views zinazorudiarudia toka device moja.
Alikiba anatakiwa afanye kazi aache uzembe na kutegemea ugomvi kati yake na diamond.Mimi najua ndio iko hivyo. Sasa hawa team kibakuli wanarudia rudia kuangalia wakidhan zitaomgezeka.
Ngoja nioneshe uzalendo... naenda kuiangalia manake title ya wimbo haikunipa kabisa mzuka!!Sasa alishinda siku nzima milion hajafika. Ikija kibakuli week ndio atapata views 100K.
Saiv wanalalamika views zinapungua [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaangalie uniletee mrejesho. Pliz usisahauNgoja nioneshe uzalendo... naenda kuiangalia manake title ya wimbo haikunipa kabisa mzuka!!
Inawezekana wametengeneza team ya kuongeza view, sasa kila wanavyorudia kuview hamna mabadiliko ndio maana wanalalamika, mfano kama sijui nani anaangalia kwanini nilalamike?Mimi najua ndio iko hivyo. Sasa hawa team kibakuli wanarudia rudia kuangalia wakidhan zitaomgezeka.
Jana views walikuwa 781 k now ukiangalia unakuta 741k unazungumjiaje hili suala kwa maoni yako?Alikiba anatakiwa afanye kazi aache uzembe na kutegemea ugomvi kati yake na diamond.
Unaona kabisa mwenzake anafanya kazi.
Kafanya ft na wasanii wakubwa tu. Hiyo yote inamuongezea fan base.
Kiba yeye anakurupuka tu bila strategy. Huo ni utoto, kutegemea ugomvi haya mambo yalishapitwa na wakati.
Kiba yupo overrated sana.